PARIS, UfaransaSHERIA mpya nchini Ufaransa inapiga marufuku uvutaji wa sigara katika maeneo ya fukwe, shule na maegesho ya magari.
Kwa mujibu wa sheria, atakayekiuka, basi...
KAMPALA, Uganda
RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ameweka wazi mpango wake wa kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mapema mwakani.
Rais Museveni, ambaye sasa ana...
WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema tayari ana matajiri wake wanaoweza kuununua mtandao wa kijamii wa TikTok, ambao umepigwa marufuku nchini humo...
JOHANNESBURG, Afrika KusiniBEKI wa zamani wa Kaizer Chiefs, Mokete Tsotetsi, anaamini timu hiyo inayonolewa na kocha Nasreddine Nabi itakuja kivingine msimu ujao.
Kaizer ilimaliza msimu...
NAPOLI, Italia
LICHA ya kuhusishwa na klabu kadhaa za Ulaya, zikiwamo pia za Saudi Arabia, Victor Osimhen ataungana na wachezaji wengine wa Napoli kwa ajili...
LONDON, EnglandKIUNGO wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya England, Paul Ince, ameingia matatani baada ya kukutwa akiendesha gari akiwa amelewa.
Ince mwenye...
LOS ANGELES, MarekaniHATUA ya staa wa Angeles Lakers ya Ligi Kuu ya Kikapu ya Marekani (NBA), LeBron James, kutokuongeza mkataba imeibua minong'ono kuwa huenda...
MADRID, Hispania
KISIWA cha Ibiza. Kinapatikana nchini Hispania na ni moja ya maeneo ghali na yenye starehe za kiwango cha juu duniani.
Kutokana na upekee wake,...
CAIRO, Misri
FAINALI za Mataifa Afrika kwa upande wa soka la Wanawake (WAFCON) zitaanza kutimua vumbi wikiendi hii (Julai 5) huko Morocco.
Wenyeji kwa mara ya...
RIYADH, Saudi ArabiaBAADA ya kusaini mkataba mpya wa miaka miwili, sasa staa wa Al-Nassr, Cristiano Ronaldo, atavuna Pauni milioni 492 (zaidi ya Sh tril....
MILAN, ItaliaRIPOTI zinaeleza kuwa kiungo wa zamani wa AC Milan, Franck Kessie, ameanza kutamani kurudi Ligi Kuu ya Italia (Serie A).
Kessie mwenye umri wa...