Ads: info@gazetini.co.tz |
25.5 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Dira ya Maendeleo 2050 yasisitiza malezi bora ya watoto nchini

Na Patricia Kimelemeta, Gazetini DIRA ya Maendeleo ya Mwaka 2020-2050 imeitaka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuimarisha uchumi wa kati wa kiwango cha juu sambamba na...

Hakamatiki: Samia anga’a uzinduzi wa kampeni za urais

Na Mwandishi Wetu, Gazetini HAKAMATIKI-ndio msamiati unaoibuka kuelezea upekee wa kishindo cha mikutano ya kampeni za mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia...

Mechi nne tu zafukuzisha kocha Al Ahly

CAIRO, MisriUONGOZI wa klabu ya Al Ahly umemfuta kazi kocha wake raia wa Hispania, Jose Riveiro, ikiwa ni baada ya mechi nne tu za...

Guardiola afunguka kilichoiponza City kwa Brighton

MANCHESTER, UingerezaBAADA ya kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Brighton, kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, ameeleza sababu ya kupoteza mchezo huo wa Ligi...

Rais Indonesia aibuka, alaani maandamano

JAKARTA, IndonesiaRAIS wa Indonesia, Prabowo Subianto, ameyaita kuwa ni uhaini na ugaidi maandamano ya raia yanayoendelea nchini humo.Indonesia, Taifa la Kusini-Mashariki mwa Asia, inakabiliwa...

Israel yamuua kiongozi Hamas

JERUSALEM, PalestinaSHAMBULIZI la anga lililofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza limemuua Msemaji wa Kundi la Hamas, Abu Obeida.Taarifa ya kifo chake inakuja baada...

𝐔𝐡𝐢𝐟𝐚𝐝𝐡𝐢, 𝐮𝐭𝐚𝐥𝐢𝐢 𝐢𝐤𝐨𝐥𝐨𝐣𝐢𝐚 𝐯𝐲𝐚𝐭𝐚𝐣𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐬𝐮𝐥𝐮𝐡𝐮 𝐲𝐚 𝐚𝐣𝐢𝐫𝐚 𝐧𝐜𝐡𝐢𝐧i

Na Mwandishi Wetu, Arusha Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) ni miongoni mwa taasisi zilizoalikuwa kushiriki kutoa mada mbalimbali katika kikao kazi cha Makatibu...

Newcastle haipoi, yasajili straika Bundesliga

LONDON, UingerezaMATAJIRI wa Newcastle United wameweka rekodi ya usajili wa bei mbaya klabuni hapo kwa kumnasa straika wa Stuttgart, Nick Woltemade.Hilo ni pigo kubwa...

Spika wa Bunge Ukraine auawa kwa kupigwa risasi

KYIV, UkraineALIYEWAHI kuwa Mbunge nchini Ukraine, Andriy Parubiy, amefariki leo baada ya kupigwa risasi mjini Lviv, Ukraine.Chanzo cha taarifa hiyo kimeeleza kuwa Parubiy alishambuliwa...

Rais Palestina azuiwa kuingia Marekani

WASHINGTON, MarekaniRAIS wa Palestina, Mahmoud Abbas, amepigwa marufuku kuingia Marekani, hivyo atakosa nafasi ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN unaotarajiwa kufanyika...

Mainoo apigwa ‘stop’ kuondoka United

MANCHESTER, UingerezaLICHA ya Kobbie Mainoo kuomba kuondoka kwa mkopo, Manchester United imemwambia kiungo huyo abaki na kuipambania namba kikosini.Kwa sasa, klabu kadhaa za Ulaya...

Tottenham yakaribia kumnasa Simons

LONDON, UingerezaKLABU ya Tottenham iko kwenye hatua nzuri ya kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa RB Leipzig na timu ya taifa ya Uholanzi, Xavi Simons.Kwa...

Recent articles

spot_img