Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Ahmed Ally: Simba itatinga robo fainali CAF

Na Hassan Mwasha, Gazetini BADO Simba ina nafasi ya kushinda mechi zilizobaki na kuingia robo fainali ya msimu huu wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kwa...

Miaka 14 bila Muammar Gaddafi; Walibya wamekipata walichokitaka?

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAKATI wananchi wa Libya walipoingia barabarani katika miji mbalimbali Februari, 2011, kilio chao kikubwa kilikuwa ni uhuru, ambao waliamini wanaukosa chini...

Wabunge Kenya wawajia juu wanajeshi Uingereza

NAIROBI, Kenya BUNGE la Kenya limewashutumu wanajeshi wa Uingereza likiwataja kufanya vitendo vya udhalilishaji walipokuwa kwenye mafunzo nchini humo. Kwa miaka mingi, vikosi vya jeshi...

Ndege iliyopotea kuanza kutafutwa Desemba 30

KUALA LUMPUR, Malaysia IKIWA ni miaka 14 imepita tangu ilipopotea, Serikali ya Malaysia itaanza tena operesheni ya kuisaka ndege yake aina ya Boeing 777. Kwa...

Kiongozi wa upinzani akamatwa, kufungwa miaka mitano

TUNIS, Tunisia MWANASIASA maarufu wa upinzani nchini Tunisia, Ayachi Hammami, amekamatwa na polisi ili kwenda kutumikia kifungo cha miaka mitano gerezani. Hammami ni miongoni mwa...

Kocha Tottenham alia na VAR

LONDON, Uingereza KOCHA wa Tottenham, Thomas Frank, amesema lilikuwa ni kosa kubwa kwa teknolojia ya VAR kuwapa penalti wapinzani wao, Newcastle United, katika mchezo wa...

Mke wa rais kutupwa jela miaka 15?

SEOUL, Korea ya Kusini WAENDESHA mashitaka wa Korea Kusini wameiomba Mahakama imuhukumu kifungo cha miaka 15 gerezani aliyekuwa mke wa Rais wa zamani, Yoon Suk...

Trump: Sitaki kuona Wasomali hapa Marekani

WASHINGTON DC, Marekani NI agizo la Rais wa Marekani, Donald Trump, akisema hataki kuona wahamiaji wa Somalia wakiingia na kuishi nchini kwake. Katika Mkutano wake...

Familia yahofia Khan amefariki gerezani

ISLAMABAD, Pakistan KWA sasa, familia ya Imran Khan inahofia kuwa huenda Waziri Mkuu huyo wa zamani wa Pakistan amefariki akiwa gerezani. Khan alikuwa Waziri Mkuu...

Tume yaundwa kuchunguza ajali ya moto

VICTORIA, Hong Kong KIONGOZI wa Hong Kong, John Lee, ameunda Tume ya kuchunguza chanzo cha ajali ya moto iliyosababisha vifo vya watu takribani 151. Jumatano...

Pantev ataondoka, tatizo litabaki Simba

Na Hassan Mwasha, Gazetini SIMBA haijapata ushindi katika mechi mbili za hatua ya makundi msimu huu wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika. Kwa ufupi, iko...

UN: Watu 300,000 wamekimbia makazi Msumbiji

MAPUTO, Msumbiji UMOJA wa Mataifa (UN) umekiri kupata wasiwasi juu ya machafuko yanayoendelea Kaskazini mwa Msumbiji na kudai kuwa watu takribani 300,000 wamekimbia makazi yao....

Recent articles

spot_img