LIMA, Peru
MGOMBEA urais katika Uchaguzi Mkuu wa Peru unaotarajiwa kufanyika Aprili, mwakani, Rafael Belaunde, amenusurika kuuawa katika shambulio la risasi. Belaunde alishambuliwa na watu...
WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa zamani wa Honduras, Juan Orlando Hernandez, ametoka gerezani kwa msamaha wa Rais wa Marekani, Donald Trump. Orlando Hernandez alikuwa akitumikia...
SOFIA, Bulgaria
MAANDAMANO makubwa yameibuka katika Jiji la Sofia, Bulgaria, ambapo maelfu ya wananchi wameingia barabarani wakishinikiza Serikali kujiuzulu. Taarifa za awali juu ya maandamano...
MOSCOW, Urusi
SERIKALI ya Urusi kupitia kwa Msemaji wake, Dmitry Peskov, imetangaza kile ilichokiita kuwa ni ushindi baada ya kuteka mji ulioko Mashariki wa Donetsk,...
LAGOS, Nigeria
WAKATI huu kukiwa na mfululizo wa matukio ya utekaji yanayofanywa na vikundi vya waasi nchini Nigeria, Waziri wa Ulinzi ametangaza kujiuzulu. Hata hivyo,...
MADRID, Hispania
ENDAPO Xabi Alonso hakutakuwa na mabadiliko katika mechi chache zijazo, mabosi wa Real Madrid watamfuta kazi kocha wao raia wa Hispania, Xabi Alonso....
YOUNDE, Cameroon
MLINDA mlango wa Manchester United anayecheza kwa mkopo Trabzonspor ya Uturuki, Andre Onana, hajaitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon. Cameroon...
YOUNDE, Cameroon
TAHARUKI imetawala nchini Cameroon baada ya mwanasiasa mkongwe wa upinzani, Anicet Ekane, kufariki akiwa anashikiliwa na vyombo vya dola, ikiwa ni wiki tano...
LOS ANGELES, Marekani
BINGWA wa ngumi za uzito wa juu duniani, Oleksandr Usyk, amemtaja Deontay Wilder kuwa ndiye bondia anayetamani kuzichapa naye katika pambano lijalo....
MERSEYSIDE, England
ZIMEKUWAPO taarifa za Arne Slot kuondoka Liverpool, ikielezwa kuwa huenda mabosi wa klabu hiyo watamfungashia virago. Taarifa za kocha huyo wa kimataifa wa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WATUMISHI watatu wa kada ya afya, akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya ya Urambo, wamesimamishwa kazi kufuatia sakata la mgonjwa kudaiwa kubakwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Dunia leo Desemba 1, 2025, inaadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani, huku Umoja wa Mataifa ukitoa onyo kali kuhusu mustakabali wa mapambano...