Ads: info@gazetini.co.tz |
25.6 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Conte kuchukua mikoba ya Carrick

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United inaweza kumgeukia Antonio Conte endapo itafikia ukomo wa kumvumilia kocha wa sasa, Michael Carrick. Kwa mujibu wa Fabrizio Romano, klabu...

PSG kubeba wawili Atletico Madrid

PARIS, Ufaransa MATAJIRI wa klabu ya PSG wameingia kwenye harakati za kuinasa saini ya beki wa pembeni wa Atletico Madrid, Malo Gusto. Kocha wa PSG, Luis...

Wenger: Afrika itatwaa Kombe la Dunia

PARIS, Ufaransa MKUU wa Maendeleo ya Soka wa Shirikisho la mchezo huo duniani , Arsene Wenger, ameitaka Afrika kutwaa Kombe la Dunia. Wenger, kocha wa zamani...

Allardyce apongeza ‘CR7’ kushughulikiwa

LONDON, Uingereza KOCHA wa zamani wa Bolton, Sam Allardyce, amepongeza kitendo cha staa wa timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo, kuondoshwa kikosini. Allardyce amemtaja kocha...

Jezi ya Jordan yauzwa bil. 36/-

LOS ANGELES, Marekani MICHAEL Jordan ni mmoja ya mastaa wakubwa kuwahi kutokea katika historia ya Ligi Kuu ya Kikapu ya Marekani . Sasa, jezi aliyoitumia katika...

Alonso akazania dili la de Jong

LONDON, Uingereza KOCHA wa Chelsea, Xabi Alonso, ameendelea kuwashinikiza mabosi wa klabu yake kumsajili kiungo wa Barcelona raia wa Uholanzi, Frenkie de Jong. Hata hivyo, Blues...

Baba: Merino yupo sana Arsenal

LONDON, Uingereza BABA mzazi wa kiungo wa Arsenal, Mikel Merino, amezipuuzia tetesi zinazomuhusisha mtoto wake na Real Madrid, akisisitiza kuwa ataendelea kukipiga Emirates. Merino mwenye umri...

Villa macho yote kwa Endrick

LONDON, Uingereza KLABU ya Aston Villa imeanza harakati za kumsajili mshambuliaji wa Kibrazil anayekipiga Real Madrid, Endrick. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 20, ameingia kwenye...

United kumaliza ‘uteja’ kwa Atletico?

LONDON, Uingereza MANCHESTER United watakuwa ugenini mjini Madrid leo Oktoba 12, 2026 kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Watatifuana na Atletico Madrid, huku rekodi...

John Cena: Hakuna wa kumzidi Pele

LOS ANGELES, Marekani MKONGWE wa mchezo wa mieleka, John Cena, bado anaamini lejendari wa Brazil, Pele, ndiye mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa...

Carragher aitosa Liver, aibukia City, Arsenal

LONDON, Uingereza ALIYEWAHI kuwa beki tegemeo wa Liverpool, Jamie Carragher, amezitabiria Manchester City na Arsenal kutwaa taji la msimu huu wa Ligi Kuu ya England...

Neville awajia juu mastaa United

MANCHESTER, Uingereza NAHODHA wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amekiri kutokuvutiwa na viwango vya mastaa wawili wa timu hiyo, Youri Tielemans na Kobbie Mainoo. Neville...

Recent articles

spot_img