Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Author: Gazetini Editor

Mkongwe amtolea uvivu Bukayo Saka

LONDON, Uingereza MKONGWE wa Arsenal David O’Leary, amehoji sababu ya winga Bukayo Saka kuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi klabuni hapo. O’Leary ameibuka baada ya Arsenal...

Okocha ataja mabingwa wa UEFA

LAGOS, Nigeria LEJENDARI wa timu ya soka ya Taifa ya Nigeria 'Super Eagles', Austin 'Jay-Jay' Okocha, amezitaja Barcelona, Manchester City na Bayern Munich kuwa ndizo...

Messi hajapoa, atupia mbili Marekani

LONDON, Uingereza LIONEL Messi amefunga mara mbili wakati timu yake ya Inter Miami ikiibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya DC United katika mchezo...

Kipchoge avunja rekodi ya dunia

MELBOURNE, Australia AKIWA na umri wa miaka 41, mwanariadha raia wa Kenya, Eliud Kipchoge, ameweka rekodi ya aina yake kwenye michuano ya Marathon ya Melbourne. Staa...

Nicki Minaj aingilia kati mauaji Nigeria

LAGOS, Nigeria SUPASTAA wa muziki wa Hip hop huko Marekani, Nicki Minaj, amelaani matukio ya kuuawa kwa waumini wa Dini ya Ukiristo nchini Nigeria. Minaj amesema...

Nani kuvaa viatu vya Harry Kane?

LONDON, Uingereza KWA miaka ya hivi karibuni, Harry Kane si tu amekuwa nahodha, bali pia mchezaji muhimu zaidi kwenye safu ya ushambuliaji ya timu ya...

Skendo kubwa zilizotikisa ulimwengu wa michezo

LONDON, Uingereza KLABU ya Manchester City iko kikaangoni kwa tuhuma za kukiuka sheria ya Nidhamu ya Matumizi ya Fedha lakini hii si skendo ya kwanza...

Chanzo uhasama wa Eritrea, Ethiopia

Na mwandishi wetu, Gazetini SIKU chache zilizopita, Eritrea ilitangaza kusitisha uhusiano wake wa kidiplomasia na majirani za, Ethiopia, ikiwa ni hatua kubwa Zaidi katika mgogoro...

Mahema, Mpanzu waifumua Yanga, Simba yakaa kileleni

Na Hassan Mwasha, Gazetini LICHA ya kutanguliwa kwa bao la mapema, Simba wameweza kuamka na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Yanga, huku...

Arsenal yaifumua Leeds United

LONDON, Uingereza ARSENAL wamepata ushindi mwembamba wa mabao 2-1 katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Leeds United uliochezwa leo Oktoba...

Uchaguzi Mkuu Israel: Netanyahu dhidi ya vyama vya Kiarabu

Na mwandishi wetu, Gazetini HIVI karibuni, Mahakama Kuu nchini Israel ilipitisha uamuzi wa kuviruhusu vyama vya upinzani vya Kiarabu kushiriki Uchaguzi wa Wabunge unaotarajiwa kufanyika...

Otamendi naye astaafu Argentina

LONDON, Uingereza BEKI Nicolas Otamendi amekuwa staa mwingine kutangaza kustaafu kuitumikia timu ya soka ya Argentina baada ya Lionel Messi. Otamendi alikuwa kikosini wakati Messi anacheza...

Recent articles

spot_img