LONDON, Uingereza
KOCHA asiye na kazi tangu alipofukuzwa na Nottingham Forest mwishoni mwa msimu uliopita , Vitor Pereira, yuko njiani kurejea kazini.
Pereira, ambaye aliwahi pia...
LONDON, Uingereza
SAINI ya winga wa Newcastle United, Bazoumana Toure, inawaniwa na klabu kubwa mbili za Ligi Kuu ya England , Arsenal na Manchester United.
Ni...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MWAKA 1960, mwanasayansi mmoja alibashiri kuwa dunia itafikia ukomo ifikapo Novemba 13, 2026. Ubashiri huo ulifanywa na mwanasayansi wa Chuo Kikuu...
LONDON, Uingereza
ARSENAL haijafunga bao la kipindi cha kwanza katika mechi tano mfululizo ilizocheza hivi karibuni, iwe kwenye Ligi Kuu au Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Washika...
LONDON, Uingereza
VIGOGO wa London, Chelsea na Arsenal, wako kwenye mchuano mkali wa kuiwania huduma ya kiungo wa Inter Milan ya Italia, Andy Diouf.
Nyota huyo...
LONDON, Uingereza
KLABU za Manchester United, Tottenham na Everton zimejikuta kwenye ushindani mkali wa kuiwania saini ya straika wa Dinamo Zagreb, Dion Beljo.
Mtandao wa TEAMtalk...
LISBON, Ureno
MTOTO wa Cristiano Ronaldo amechagua kuiwakilisha Ureno katika ngazi ya timu ya taifa, licha ya kwamba angeweza kuchagua nchi nyingine.
Cristiano Ronaldo Jr ameichagua...
BUONES AIRES, Argentina
LIONEL Messi ameshastaafu kuitumikia timu ya soka ya Taifa ya Argentina na hivi karibuni alicheza mechi yake ya mwisho, ambapo waliifunga Benin...
MANCHESTER, Uingereza
KLABU ya Manchester City huenda ikatolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya endapo itakwama katika rufaa yake.Man City imekata rufaa dhidi ya...
KYIV, Ukraine
ALIYEKUWA Mkuu wa Majeshi wa Ukraine, Oleksandr Syrskyi, amedai kuwa kwa sasa maadui zao, Urusi, wameishiwa pumzi kwenye uwanja wa vita.
Jenerali Syrskyi ameeleza...
RIYADH, Saudi Arabia
WAZIRI wa Nishati wa Saudi Arabia, Abdul Aziz bin Salman, amelaani mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa Kundi la Houthi la Yemen.
Houthi wanaishambulia...
LONDON, Uingereza
SIKU chache zilizopita, Lionel Messi aliwaaga mashabiki wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina. Alicheza mechi yake ya mwisho. Argentina dhidi ya...