Ads: info@gazetini.co.tz |
25.1 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Nchi hizi kupata leseni ya udereva siyo poa

Na mwandishi wetu, Gazetini UGIRIKI na Japan ndizo nchi zinazotajwa kuwa na kipimo kigumu zaidi kwa dereva kukabidhiwa leseni na kuingia barabarani. Kwa Ugiriki, dereva anayehitaji...

Maajabu ya chumvi na historia yake ya miaka 5,000

Na mwandishi wetu, Gazetini UMEWAHI kujiuliza maisha yangekuwa magumu kiasi gani bila uwepo wa chumvi kwenye mboga? Sasa, kwa taarifa yako, binadamu alianza kutumia kiungo...

Watu wenye wafuasi wengi zaidi ‘X’

Na mwandishi wetu, Gazetini BILIONEA Elon Musk, ambaye ndiye mmiliki wa X , ndiye mtu mwenye wafuasi wengi zaidi katika mtandao huo wa kijamii. Wafuasi...

Madairekta wa muvi kiboko kwa mkwanja duniani

LOS ANGELES, Marekani KATIKA orodha ya mastaa wenye mkwanja mrefu duniani kwa sasa, nafasi ya kwanza na ya pili zinashikwa na waongozaji wa filamu nchini...

Tofauti ya umri wa kuuziwa pombe duniani

Na mwandishi wetu, Gazetini “HAIUZWI kwa mtu mwenye umri chini ya miaka 18.” Ni kaulimbiu maarufu katika matangazo ya kampuni za pombe. Kwamba bidhaa hiyo...

Boateng aanza kazi ya ukocha

MANCHESTER, Uingereza BEKI wa zamani wa Manchester City na timu ya Taifa ya Ujerumani, Jerome Boateng, ametangazwa kuwa kocha msaidizi wa Trabzonspor ya Ligi Kuu...

Mbappe aizima Uturuki, Ubelgiji yaitandika Italia

PARIS, Ufaransa MECHI kadha za Ligi ya Mataifa ya Ulaya zilichezwa jana Septemba 25, 2026, huku timu ya Taifa ya Ufaransa ikiitandika Uturuki bao...

Lissu amaliza hoja ya sita, aanza ya saba katika kesi ya uhaini

Na mwandishi wetu, Gazetini MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Ijumaa, Septemba 25, 2026, amehitimisha hoja yake ya sita ya...

El Niño yabadilisha ratiba ya mitihani ya Taifa 2026

Na Esther Mnyika, GAZETINI WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya mabadiliko ya ratiba ya uendeshaji wa Upimaji na Mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026,...

MVP wa kwanza NBA afariki

LOS ANGELES, Marekani MCHEZAJI wa kwanza katika historia ya Ligi Kuu ya Kikapu ya Marekani kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu , Bob...

Deco: Barcelona hatuna mpango na Gabriel

CATALUNYA, Hispania MKURUGENZI wa ufundi wa Barcelona, Deco, ameweka wazi kuwa klabu hiyo haina mpango wa kumsajili kinda wa Manchester United, JJ Gabriel. Gabriel , anahusishwa...

Haaland aweka mbili kuibeba Norway

OSLO, Norway STRAIKA wa timu ya Taifa ya Norway, Erling Haaland, amefunga mabao mawili na kuliwezesha chama lake kupata ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya...