MIAMI, Marekani
INTER Miami ya Marekani imemsajili mlinzi wa kushoto wa zamani wa Tottenham na Real Madrid, Sergio Reguilon, akiwa mchezaji huru.
Reguilon mwenye umri wa...
BEIJING, China
MWANAHARAKATI wa demokrasia wa Hong Kong, Jimmy Lai, atahukumiwa kifungo cha maisha gerezani endapo atakutwa na hatia katika mashitaka yanayomkabili.
Lai (78), anashutumiwa kwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
UTAFITI wa Deutsche Bank umefuatilia maisha ya miji 69 duniani na kubaini tofauti iliyopo katika mishahara wanayolipwa wafanyakazi kila mwezi. Aidha,...
LOME, Togo
ILIKUWA ni mwaka 2010, ambapo kikundi cha watu wenye silaha za kivita kililiteka basi la wachezaji wa timu ya taifa ya Togo.
Ilikuwaje?
Ni...
ABIDJAN, Ivory Coast
AKIWA kwenye kiwango cha juu na mafanikio makubwa ya soka, wakati huo akiitumikia Chelsea, Didier Drogba, alijitosa katika vita ya wenyewe kwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SARATANI ya mapafu ni miongoni mwa magonjwa tishio ulimwenguni, ukitajwa kusababisha vifo zaidi ya milioni 1.8 kwa mwaka.
Takwimu hizo ni za...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itayaendeleza mambo yote mema yaliyofanywa na aliyekuwa mbunge wa Peramiho mkoani Ruvuma, marehemu Jenista Mhagama...
Na mwandishi wetu, Gazetini
LICHA ya kupendwa zaidi na wakati mwingine kuonekana ni kipimo cha ufahari, ulaji wa myama za kuku, nguruwe na ng'ombe huweza...
MANCHESTER, England
KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema atakutana kwenye meza ya mazungumzo na kiungo wa timu hiyo, Kobbie Mainoo.
Amorim anataka kuzungumza na kinda...
LONDON, Uingereza
KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca, amekiri kuwa amepoteza ushawishi mbele ya mabosi wa klabu hiyo ya Magharibi mwa Jiji la London. Baada ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
"UVUMILIVU ni mchungu lakini matunda yake ni matamu." Ni msemo unaotafsiri maisha mazuri wanayoishi waajiriwa baada ya mateso ya 'kozi' ngumu...