Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limemteua Mtanzania, Baraka Kizuguto kuwa Mratibu Mkuu wa michezo ya nusu fainali ya hatua za awali...
Na Winfrida Mtoi, Gazetini
Mshambuliaji wa JKT Queens FC, Jamila Rajabu, amesema amejipanga kutengeneza nafasi na kufunga mabao katika mchezo wa pili wa hatua ya...
Na Mwandishi Wetu,Gazetini
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema watanzania wanalitazama kwa umakini mkubwa Bunge la 13...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amezindua rasmi Baraza la 11 la Wawakilishi Zanzibar,...
Na MWANDISHI WETU
MWIMBAJI anayekuja kwa kasi kwenye muziki wa Injili nchini Kongo, Nana Miriam ameachia kionjo cha wimbo mpya, C'est Jésus, alioshirikiana na Sylvain...
Na mwandishi wetu, GazetiniRIPOTI ya mwaka huu ya mtandao wa OECD inaonesha kuwa Canada ndiyo kinara katika orodha ya nchi zenye wasomi wengi duniani,...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Rais Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa wabunge sita katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Taarifa ya uteuzi wa wabunge...
Na mwandishi wetu, GazetiniSIASA za Afrika Kusini zimefungua ukurasa mpya baada ya binti wa Rais wa zamani wa Taifa hilo, Jacob Zuma, kushitakiwa kwa...
Na mwandishi wetu, GazetiniUTAFITI wa hivi karibuni uliofanywa katika mataifa 144 duniani umeitaja Singapore kuwa ndiyo kinara linapokuja suala la usalama.Singapore, Taifa la barani...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC), Tim Davie, ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kufuatia lawama nzito zilizotokana na madai...