Na Hassan Mwasha, Gazetini
NI Simba ya kocha Dimitar Pantev dhidi ya Petro Atletico katika mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi unaotarajiwa kuchezwa Novemba...
Na mwandishi wetu, GazetiniUHUSIANO wa Marekani na Afrika Kusini umezidi kudorora kwa siku za hivi karibuni na tayari Rais Donald Trump ametaka nchi hiyo...
MADRID, HispaniaALIWAHI kutabiriwa kuwa staa mpya wa soka la Brazil, akitajwa kufuata nyayo za mastaa wengi waliwahi kupiga katika ardhi ya nchi hiyo, wakiwamo...
MERSEYSIDE, UingerezaMKONGWE wa Liverpool, Steve Nicol, anaamini ni wakati sasa kwa kocha Arne Slot kuacha kumpa nafasi staa wa timu hiyo, Mohamed Salah.Kwa mujibu...
LAGOS, NigeriaMAANDALIZI ya timu ya soka ya taifa ya Nigeria 'Super Eagles' kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Gabon yameingia mdudu baada ya wachezaji...
MADRID, HispaniaKWA mujibu wa kile kilichoripotiwa na Gazeti la Sport la Hispania, Vinicius Jr anataka alipwe mshahara sawa na Kylian Mbappe ili kubaki Real...
MANCHESTER, UingerezaNAPOLI imeendelea kumfuatilia kiungo wa Manchester United, Kobbie Mainoo, ikipanga kumsajili kwa mkopo ifikapo Januari, mwakani.Kwa mujibu wa vyanzo vya habari, nyota huyo...
LISBON, UrenoMPACHIKAJI mabao wa kimataifa wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameweka wazi kuwa fainali zijazo za Kombe la Dunia za mwakani zitakuwa za mwisho kwake...
INSTANBUL, UturukiNDEGE ya kijeshi ya mizigo nchini Uturuki imepata ajali ikiwa na abiria 20, kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo.Taarifa imeeleza...