Na Hassan Mwasha, GazeiniHATIMAYE ushindi mnono wa mabao 4-1 dhidi ya KMC umeirejesha Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Matokeo hayo yamaeifanya...
MANCHESTER, UingerezaKOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim, amesema atalazimika kutafuta straika mpya endapo Benjamin Sesko ataendelea na kusumbuliwa na majeraha ya goti.Sesko alitokea benchi...
LONDON, UingerezaKLABU ya Tottenham imeachana na mpango wa kumsajili Morgan Rogers wa Aston Villa, na sasa inamtaka winga wa Everton, Iliman Ndiaye.Kwa mujibu wa...
LOS ANGELES, MarekaniMWAKA 2018, staa wa muziki wa Hip hop nchini Marekani, Drake, alitikisa vichwa vya habari za burudani zilipoibuka taarifa kuwa ametelekeza mtoto.Nyota...
Na Iman Nathaniel, Gazetini
Zaidi ya washindi 400 wamejishindia zawadi mbalimbali kupitia kampeni inayoendeshwa HaloPesa inayoitwa Tamba na Bonasi'.
Kupitia kampeni hiyo wateja wa HaloPesa wanapata...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KWAKO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan. Nianze kwa kupongeza juhudi za Serikali yako katika kupigania...
Na Mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuingia hatua ya makundi, sasa klabu za Simba na Yanga zimesogelea utajiri wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.Yanga,...
Na mwandishi wetu, GazetiniDIPLOMASIA ya taaluma ni eneo jingine ambalo Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi imewekeza nguvu kubwa katika mahusiano yake na...
NEW YORK, MarekaniBARAZA la Usalama la Umoja wa Mataifa limemuondoshea vikwazo Rais wa Syria, Ahmed al-Sharaa.Hatua ya kuondoshwa vikwazo inakuja wakati huu Rais huyo...
Na mwandishi wetu, GazetiniDENI la Dunia limefikia Dola za Marekani trilioni 110.9 lakini zipo nchi zinazooneka kuwa kinara wa kukopa, kwa mujibu wa takwimu...