Ads: info@gazetini.co.tz |
21.3 C
Dar es Salaam

Stay tuned

Subscribe to our latest newsletter and never miss the latest news!
Our newsletter is sent once a week, every Monday.

Latest news

Mpasuko jeshini baada ya Waziri ‘kutumbuliwa’

KYIV, Ukraine HATUA ya Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, kumuweka kando aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Mykhailo Fedorov, imezua mjadala ndani ya jeshi la nchi hiyo. Baadhi...

Marekani yaipiga Iran kwa mara ya saba

TEHRAN, Iran JESHI la Marekani limetibitisha kufanya shambulizi la usiku kwa mara ya saba mfululizo nchini Iran. Huo ni mwendelezo wa Iran kushambuliwa usiku tangu Rais...

Huyu hapa refa wa fainali Kombe la Dunia

MIAMI, Marekani  ANAITWA Slavko Vincic, mwamuzi wa kati aliyeteuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kucheza mechi ya fainali msimu huu wa Kombe la...

Mechi 10 za kiume Kombe la Dunia 2026

BOSTON, Marekani MSIMU huu wa Kombe la Dunia unaelekea ukingoni. Fainali itachezwa kesho Jumapili, Julai 19, 2026, katika Uwanja wa MetLife nchini Marekani, ikizikutanisha Argentina...

Wananchi wengi wanaisikia Dira 2050, lakini…

Na mwandishi wetu, Gazetini Licha ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kuendelea kujadiliwa katika ngazi mbalimbali, bado wananchi wengi hawajaielewa kwa kina, jambo linaloonyesha...

BoT inavyolinda mfumo wa fedha dhidi ya utakatishaji

Na Esther Mnyika, Gazetini MFUMO wa fedha ulio salama na unaoaminika ni nguzo muhimu ya ukuaji wa uchumi na kuvutia uwekezaji. Hata hivyo, mafanikio hayo...

Kakurwa: OSHA ni taasisi muhimu katika kuchochea maendeleo ya Taifa

Na mwandishi wetu, Gazetini OFISI ya Msajili wa Hazina imesema Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) ni miongoni mwa Taasisi muhimu kwa...

Hezbollah waionya Serikali ya Lebanon

BEIRUT, Lebanon KUNDI linalohusishwa na ugaidi la Hezbollah limeionya Serikali ya Lebanon, likisema inaipeleka pabaya nchi hiyo ya Mashariki ya Kati. Mbunge mwandamizi wa Hezbollah, Ali...

Rais Trump ailipua China kisa Uchaguzi 2020

WASHINGTON DC, Marekani RAIS Donald Trump ameibuka na madai kuwa wapinzani wao wakubwa kiuchumi, China, walitia mkono katika Uchaguzi Mkuu wa Marekani wa mwaka 2020. Kwa mujibu...

Guardiola humwambii kitu kwa Neymar

LONDON, Uingereza  KOCHA wa zamani wa Manchester City, Pep Guardiola, amemtaja Neymar kuwa ndiye mchezaji aliyetamani zaidi kufanya naye kazi. Wawili hao walipishana Barcelona kwani wakati Guardiola...

Zidane apigiwa chapuo kuinoa Ufaransa

LONDON, Uingereza  MKONGWE wa soka, Zlatan Ibrahimovic, amemtaka Zinedine Zidane kutua katika benchi la ufundi la timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa endapo atarudi kazini. Ibrahimovic...

Ajali ya basi yaua wanafunzi 20, mmiliki wa shule 

KAMPALA, Uganda AJALI ya basi la shule imesababisha vifo vya wanafunzi 20, pamoja na mtu mzima mmoja, katika eneo la Kapchorwa, Mashariki mwa Uganda. Taarifa ya polisi imeeleza...