Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA siasa za Afrika na dunia kwa ujumla, Idi Amin ni mfano mzuri wa marais walioamua kuipuuza misingi ya demokrasia na...
KABUL, Afghanistan
KWA wananchi wa Afghanistan, miaka mitano ya utawala wa Kundi la Taliban imekuwa ya mafanikio makubwa katika kurejesha amani nchini humo.
Hata hivyo, wanalitaka...
PARIS, Ufaransa
PSG imekamilisha usajili wa mshambuliaji kutoka Barcelona, Ferran Torres, na kumkabidhi jezi namba 9 klabuni hapo.
Mhispania huyo mwenye umri wa miaka 26, amesaini...
JAKARTA, Indonesia
WATU takribani 47 wameripotiwa kupoteza maisha katika tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 lililotokea asubuhi ya leo Agosti 15, 2026, nchini Indonesia.
Kupitia...
TEHRAN, Iran
HATIMAYE Serikali ya Iran imeibuka na ujumbe wa kusisitiza kuwa bado ndiyo inayodhibiti safari zote za meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz.
Kuibuka kwa Iran...
LONDON, Uingereza
ARSENAL na Manchester City zitakwana kesho Agosti 16, 2026, mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa katika Uwanja wa Principality mjini Cardiff, Wales.
Ni mchezo...
RABAT, Morocco
MSIMU huu wa fainali za Mataifa ya Afrika kwa soka la Wanawake utafikia ukomo Jumapili hii, yaani Agosti 16, 2026. Michuano hiyo inafanyika...
PARIS, Ufaransa
MECHI ya kwanza ya Ligi Kuu hiyo ya Ufaransa kwa msimu wa 2026-27 itachezwa Ijumaa ya Agosti 21, 2026. Marseille watakuwa nyumbani kuivaa...
MUNICH, Ujerumani
BAYERN Munich itakuwa nyumbani kuikaribisha VfB Stuttgart katika mechi ya ufunguzi wa Bundesliga msimu mpya wa 2026-27. Hiyo itakuwa Ijumaa ya Agosti 28,...
MADRID, Hispania
MSIMU mpya wa La Liga (2026-27) utaanza kesho, yaani Jumamosi ya Agosti 15, ambapo Alaves itafungua pazia kwa kuikaribisha Getafe.
Gumzo ni kurejea kwa...