Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

World

Nigeria yakosa tiketi Kombe la Dunia 2027

RABAT, Morocco TIMU ya soka ya Taifa ya Nigeria ya Wanawake 'Super Falcons' haitoshiriki fainali zijazo za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2027. Super Falcons wamepoteza...

Mvua ya kihistoria yaua wanne Japan

TOKYO, Japan MVUA kubwa iliyonyesha usiku wa jana Agosti 13, 2026, huko Chiba, jirani na Mji Mkuu wa Tokyo, imesababisha vifo vya watu wanne, huku...

Mendy, Asencio wako sokoni Madrid

MADRID, Hispania VIGOGO wa Ligi Kuu ya Hispania (La Liga), Real Madrid, wako mbioni kuwapiga bei mastaa wao wawili, Ferland Mendy na Raul Asencio. Madrid wamepoteza...

Osimhen asukiwa mkakati Arsenal

LONDON, Uingereza ZIPO taarifa zinazodai kuwa Victor Osimhen wa Galatasaray ni miongoni mwa mastraika walio kwenye orodha ya kocha wa Arsenal, Mikel Arteta. Gazeti la UK...

Gullit: Rashford atatesa sana msimu ujao EPL

LONDON, Uingereza KIUNGO wa zamani wa Chelsea, Ruud Gullit, amemtabiria makubwa Marcus Rashford akisema straika huyo atafanya makubwa msimu ujao (2026-27) wa Ligi Kuu ya...

Zidane amvuta Barthez, apewa ajira Ufaransa

PARIS, Ufaransa MLINDA mlango wa zamani wa timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa, Fabien Barthez, ameajiriwa kuwa sehemu ya wasaidizi wa kocha mkuu wa...

PSG yazoa bil. 15/- kuifunga Villa

LONDON, Uingereza KWA mujibu wa Gazeti la Daily Mirror, PSG ya kocha Luis Enrique imejiondokea na kitita cha Pauni milioni 4.3 (Zaidi ya Sh bil....

Motsepe aibuka kumkingia kifua Infantino

CAIRO, Misri RAIS wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, amesema hakuna namna ya kumng'oa Gianni Infantino ndani ya FIFA zaidi ya kusubiri...

Ligi Kuu ya Uturuki msimu ujao ni balaa zito

INSTANBUL, Uturuki KAMA hujawahi kufuatilia Ligi Kuu ya Uturuki, basi hebu jaribu kufanya hivyo msimu ujao (2026-27) kwani kuna uhondo wa 'kufa mtu' kutokana na...

Rekodi iliyoshindikana ulimwengu wa riadha

LONDON, Uingereza KWA miaka 43 sasa, rekodi ya dunia ya mbio ndefu za mita 800 kwa wanawake haijawahi kuvunjwa. Bado inashikiliwa na mwanariadha raia wa...

Hizi ndizo nchi zinazoendeleza hukumu ya kifo

BEIRUT, Lebanon LEBANON imekuwa nchi ya kwanza ya Mashariki ya Kati kufuta sheria ya hukumu ya kifo kwa wafungwa wake. Hatua hiyo ilifikiwa hivi karibuni...

UNESCO: Watoto wa kike wanazuiwa kwenda sekondari Afghanistan

NEW YORK, Marekani  SHIRIKA la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limeeleza katika ripoti yake kuwa wasichana takribani milioni 2.4 nchini Afghanistan wamenyimwa...

Recent articles