WASHINGTON DC, Marekani
VIGOGO wote 57 walioteuliwa na Rais Donald Trump katika awamu yake ya pili madarakani ni matajiri wa kutupwa. Kila mmoja ana utajiri...
LONDON, Uingereza
MKONGWE wa Manchester United, Wayne Rooney, ameishauri klabu hiyo kumsajili 'fasta' nyota wa Arsenal mwenye umri wa miaka 19, Myles Lewis-Skelly.
Rooney anaamini ujio...
CATALUNYA, Hispania
KIUNGO wa kimataifa wa Hispania aliyejiunga na Barcelona akitokea Manchester City, Rodri, amepewa jezi namba 16 katika kikosi cha Wacatalunya hao.
Aliyefichua hayo si...
LONDON, Uingereza
WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Andy Burnham, amesema Serikali yake inaiunga mkono Ukraine kwa asilimia 100 na itaendelea kufanya hivyo.
Kauli yake hiyo inakuja baada...
LONDON, Uingereza
BAADA ya kuondoka Liverpool mwishoni mwa msimu uliopita (2025-26), Mohamed Salah amesaini mkataba wa miaka miwili na Trabzonspor ya Ligi Kuu ya Uturuki.
Uamuzi...
WASHINGTON DC, Marekani
RAIS wa Marekani, Donald Trump, ameionya Oman akisema hatosita kutuma jeshi lake kuishambulia kwa mabomu endapo itaendelea kujihisha na mgogoro wa Iran.
Wakati...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TAARIFA ya hali ya Dawa za Kulevya Duniani ya mwaka 2025 ilionesha kuwa matumizi ya dawa za kulevya yamefikia kiwango cha...
MANCHESTER, Uingereza
BAADA ya filimbi ya mwisho katika mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Arsenal jana Agosti 16, 2026, kocha Enzo Maresca alisema...
CARDIFF, Wales
WASHIKA Bunduki wa London, Arsenal, wametwaa ubingwa wa Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Manchester City.
Mechi hiyo ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HISTORIA inakumbusha, kwamba kwa amri ya Obote, Idi Amin aliongoza jeshi kuvamia makazi ya Kabaka, vurugu zilizosababisha vifo vya raia zaidi...