Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA sehemu iliyopita, aliyekuwa Waziri wa Afya katika uongozi wa Idi Amin, Henry Kyemba, alisimulia kupitia Kitabu chake cha 'State of...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA sehemu ya tatu ya mfululizo wa makala haya, tuliona namna Idi Amin akiwa Mkuu wa Majeshi alivyopindua Serikali ya Rais...
Na mwandishi wetu, Gazetini
HISTORIA inakumbusha, kwamba kwa amri ya Obote, Idi Amin aliongoza jeshi kuvamia makazi ya Kabaka, vurugu zilizosababisha vifo vya raia zaidi...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KATIKA siasa za Afrika na dunia kwa ujumla, Idi Amin ni mfano mzuri wa marais walioamua kuipuuza misingi ya demokrasia na...
RABAT, Morocco
MSIMU huu wa fainali za Mataifa ya Afrika kwa soka la Wanawake utafikia ukomo Jumapili hii, yaani Agosti 16, 2026. Michuano hiyo inafanyika...
RABAT, Morocco
TIMU ya soka ya Taifa ya Nigeria ya Wanawake 'Super Falcons' haitoshiriki fainali zijazo za Kombe la Dunia zitakazofanyika mwaka 2027.
Super Falcons wamepoteza...
CAIRO, Misri
RAIS wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), Patrice Motsepe, amesema hakuna namna ya kumng'oa Gianni Infantino ndani ya FIFA zaidi ya kusubiri...
NAIROBI, Kenya
KENYA imetupa karata yake katika mbio za kuwania tiketi ya kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Riadha ya Dunia yatakayofanyika mwaka 2029.
Endapo Kenya itafanikiwa...
BAMAKO, Mali
WANAJESHI zaidi ya 10 wameripotiwa kuuawa baada ya kambi yao kushambuliwa na kikundi cha waasi wikiendi iliyopita.
Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin (JNIM), ambalo ni...
LUSAKA, Zambia
UCHAGUZI Mkuu nchini Zambia utafanyika Alhamisi ya wiki hii, yaani Agosti 13, 2026, na macho ya wengi yameeelekezwa katika kinyang'anyiro cha urais.
Ifahamike kuwa...