Ads: info@gazetini.co.tz |
30.2 C
Dar es Salaam

Africa

Lwandamina apigiwa debe ajira Chipolopolo

HARARE, Zimbabwe KIUNGO wa zamani wa timu ya soka ya Taifa ya Zambia 'Chipolopolo', Gift Kampamba, anaamini George Lwandamina anastahili kuajiriwa moja kwa moja kukinoa...

Banda kinara wa mabao WAFCON

RABAT, Morocco MSHAMBULIAJI wa kati wa timu ya soka ya Taifa ya Wanawake ya Zambia, Barbra Banda, ndiye anayeongoza msimamo wa wafungaji bora msimu huu...

Paul Biya: Rais aliyewaacha njiapanda wananchi Cameroon

YOUNDE, Cameroon HAJAONEKANA hadharani kwa miezi miwili sasa na wananchi wa Cameroon wanahoji; itachukua muda gani Rais Paul Biya kurudi nchini akitokea mjini Geneva, Uswis? Wakati...

Miaka minne baada ya mapinduzi, Traore amefanikiwa?

OUAGADOUGOU, Burkina Faso ALIINGIA madarakani mwaka 2022 akiliongoza jeshi kuipindua Serikali iliyokuwa madarakani. Anaitwa Kapt.Ibrahim Traore, kijana mwenye umri wa miaka 38 tu. Kwa upande mmoja,...

TARURA yatajwa miongoni mwa taasisi bora za miundombinu Afrika

Na mwandishi wetu, Gazetini RAIS wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania, Wakili Boniventure Mwambaja, amesema anaiona Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...

Rais Samia: Vijana wa Afrika wasiwe watumiaji wa teknolojia pekee

Na mwandishi wetu, Gazetini RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amesema Afrika inapaswa kuwekeza zaidi katika elimu, ujuzi wa ufundi na uwezo wa kidijitali...

Wajawazito DRC na changamoto ya Ebola

BUNIA, DRC MLIPUKO wa ugonjwa wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeathiri kwa kiasi kikubwa utaratibu wa wajawazito kwenda kliniki, kama anavyoeleza...

Vijana wa Liberia na urahibu wa bangi

MONROVIA, Liberia KATIKA mitaa ya Mji Mkuu, Monrovia, utumizi wa dawa za kulevya aina ya bangi si jambo linalohitaji utafiti mkubwa kulibaini, na badala yake...

Your Gateway to Tanzania’s Booming Agriculture, Livestock & Food Industry

2–3 September 2026 | Mwalimu J.K. Nyerere Trade Fair Grounds, Dar es Salaam, Tanzania Africa's agriculture, livestock, and food processing sectors are entering a new...

Hiki ndicho chanzo cha guvu ya waasi Nigeria?

LAGOS, Nigeria KWA miaka mingi sasa, Nigeria imegubikwa na matukio ya uhalifu katika maeneo yake mengi. Watu takribani 3,000 wametekwa kwa kipindi cha mwaka mmoja...

Davido kuibukia uigizaji wa ‘muvi’

LAGOS, Nigeria SUPASTAA wa muziki wa Afrobeats, Davido, ameeleza nia yake ya kuwa mwigizaji kwenye soko la filamu nchini Nigeria (Nollywood). Katika mahojiano yake ya hivi...

Kocha Bafana Bafana aachia ngazi

PRETORIA, Afrika Kusini LICHA ya kuiwezesha timu ya soka ya Taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana' kufika hatua ya mtoano katika fainali za Kombe la...

Recent articles