HAGUE, Uholanzi
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita (ICC) imeendelea kulaani kinachoendelea Sudan, ikisema upo ushahidi wa uwepo wa matukio ya uhalifu dhidi ya...
LAGOS, Nigeria
ALIYEWAHI kuwa mshindi wa Shindano la Big Brother Naija, Mercy Eke, amezua mjadala mzito mitandaoni kwa kauli yake ya kusema hawezi kuolewa na...
KINSHASA, DRC
KUNDI la waasi la M23 linajivunia idadi ndogo ya maambukizi ya Ebola katika maeneo yake, likidai kuwa hilo linathibitisha uwezo wake mkubwa wa...
KAMPALA, Uganda
AJALI ya basi la shule imesababisha vifo vya wanafunzi 20, pamoja na mtu mzima mmoja, katika eneo la Kapchorwa, Mashariki mwa Uganda.
Taarifa ya polisi imeeleza...
Na mwandishi wetu, Gazetini
JULAI 18 ya kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya kumbukizi ya mchango mkubwa alioutoa Nelson Mandela katika ulimwengu wa siasa,...
MIAMI, Marekani
AFRIKA haina mwakilishi katika hatua ya nusu fainali ya msimu huu wa Kombe la Dunia. Ni timu za Bara la Ulaya pekee zilizobaki.
Hata...
ACCRA, Ghana
WATU 12 wameripotiwa kupoteza maisha katika mafuriko yaliyotokea katika maeneo mbalimbali nchini Ghana, ukiwamo Mji Mkuu wa Accra.
Mvua iliyonyesha ni ya kiwango cha...
Na mwandishi wetu, Gazetini
KWA miaka ya hivi karibuni, baada ya kufuatilia chaguzi za Afrika, wachambuzi wa siasa wameibua kile wanachokiita mdororo wa afya ya...
DAKAR, Senegal
TAKWIMU zinaeleza kuwa asilimia 30 ya dawa za kulevya zinazokwenda Ulaya hupita barani Afrika, hasa katika mataifa ya Magharibi, ikiwamo Senegal.
Hiyo ni kwa...
NEW YORK, Marekani
BENKI ya Dunia (WB) imeeleza kuwa vita vya Iran vimezifanya nchi nyingi za Afrika kukopa fedha ili kukabiliana na dharura ya kiuchumi.
Vita...