Ads: info@gazetini.co.tz |
23.8 C
Dar es Salaam

World CUP

Timu zilizopigwa marufuku kucheza Kombe la Dunia

NYON, Uswis ZIPO sababu kuu tatu zinazoweza kuisukuma FIFA (Shirikisho la Soka la Kimataifa) kuipiga 'stop' timu ya taifa iliyo sehemu ya wanachama wake kushiriki...

Mabao ya nje ya boksi yaweka rekodi

MIAMI, Marekani HATA kabla ya fainali kuchezwa, tayari idadi ya mabao yaliyofungwa kwa mashuti ya nje ya boksi ilishavunja rekodi ya fainali za Kombe la...

Ufaransa yaweka rekodi mbaya Kombe la Dunia

MIAMI, Marekani  KATIKA kipigo cha mabao 6-4 kutoka kwa England, timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa imeweka rekodi mbaya zaidi kuwahi kuwakuta katika miaka...

Olise avunja rekodi ya Pele

MIAMI, Marekani MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya Ufaransa, Michael Olise, ameivunja rekodi ya mkongwe wa Brazil, Pele. Nyota huyo wa Bayern Munich ameandika historia mpya,...

Mastaa hawa Kombe la Dunia limewapa kiki Instagram

MIAMI, Marekani KWA kipindi cha mwezi mmoja wa michuano ya Kombe la Dunia msimu huu wa 2026, Erling Haaland ameongeza wafuasi milioni 29 katika akaunti yake...

Safari ya Hispania kutinga fainali

MIAMI, Marekani HISTORIA inarudisha kilichotokea miaka 16 iliyopita, ambapo timu ya soka ya taifa ya Hispania ilitwaa ubingwa wa Kombe la Dunia ikiwa kwenye ardhi...

Safari ya Argentina kutinga fainali

MIAMI, Argentina ARGENTINA ya kocha Lionel Scaloni itaingia katika mchezo huo wa fainali dhidi ya Hispania ikiwa bingwa mtetezi kwa taji lake la miaka minne...

Rais Trump ageuka mchambuzi, amvaa Tuchel

MIAMI, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amekosoa mbinu za kocha Thomas Tuchel akisema ndizo zilizoigharimu timu ya soka ya taifa ya England katika nusu...

Huyu hapa refa wa fainali Kombe la Dunia

MIAMI, Marekani  ANAITWA Slavko Vincic, mwamuzi wa kati aliyeteuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kucheza mechi ya fainali msimu huu wa Kombe la...

Mechi 10 za kiume Kombe la Dunia 2026

BOSTON, Marekani MSIMU huu wa Kombe la Dunia unaelekea ukingoni. Fainali itachezwa kesho Jumapili, Julai 19, 2026, katika Uwanja wa MetLife nchini Marekani, ikizikutanisha Argentina...

Mwandishi mkongwe zaidi Kombe la Dunia 2026

MIAMI, Marekani AKIWA na umri wa miaka 91 kwa sasa, Enrique Macaya Marquez ni miongoni mwa waandishi wa habari walioko Marekani wakisubiri kuripoti mechi ya...

England ya makocha 15 ‘haijatoboa’ Kombe la Dunia

MIAMI, Marekani  LICHA ya matumaini makubwa waliyokuwa nayo, mashabiki wa timu ya soka ya Taifa ya England wamelikosa tena taji la fainali za Kombe la...

Recent articles