MIAMI, Marekani
NAHODHA wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi, amezipuuza taarifa zinazodai kuwa wanabebwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
Messi...
MIAMI, Marekani
LEJENDARI wa soka, Zlatan Ibrahimovic, ameibuka baada ya timu ya soka ya Taifa ya England kufungwa mabao 2-1 na Argentina katika mchezo wa usiku...
NEW YORK, Marekani
BEKI wa Hispania na mchezaji bora wa mechi, Pedro Porro, amesema kufuzu kwa timu yake fainali ni ndoto aliyokuwa akiisubiri kwa muda...
BOSTON, Marekani
NI timu nne pekee zilizobaki katika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026). Kwamba timu 44 zimeshaaga mashindano hayo ya Shirikisho...
BOSTON, Marekani
KICHAPO cha mabao 2-1 kutoka kwa Hispania katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Dunia kilihitimisha safari ya 'kizazi cha dhahabu' cha...
MIAMI, Marekani
LICHA ya kucheza mechi zaidi ya 200 akiwa na timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi hajawahi kuikabili England.
Safari hii, Messi atakutana kwa...
MIAMI, Marekani
AFRIKA haina mwakilishi katika hatua ya nusu fainali ya msimu huu wa Kombe la Dunia. Ni timu za Bara la Ulaya pekee zilizobaki.
Hata...