Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Michezo

AFCON 2025, kivutio kingine ni mavazi ya kitamaduni

Na Winfrida Mtoi, Gazetini SHAMRASHAMRA kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON-2025), zimezidi kupamba moto, hasa baada ya timu shiriki za michuano hiyo kuanza kuwasili nchini...

Yaliyojiri tuzo za FIFA, Dembele abeba tena

DOHA, Qatar MSHAMBULIAJI wa PSG na timu ya taifa ya Ufaransa, Ousmane Dembele, ameibuka mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka huu wa Shirikisho...

Samatta na vita yake AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMA kuna alama isiyofutika na itakayobaki kwa miaka mingi katika historia ya soka la Tanzania, basi ni kile alichokifanya Mbwana Samatta. Mchezaji...

Mbappe bado bao moja tu

MADRID, Hispania STAA wa Real Madrid, Kylian Mbappe, amebakiza bao moja kufikia rekodi ya mkongwe wa timu hiyo, Cristiano Ronaldo. Katika mchezo wa jana Desemba 17,...

Mastaa hawa mguu nje, mguu ndani Kombe la Dunia 2026

LONDON, Uingereza NI miezi michache tu imebaki kabla ya kuanza kwa fainali za Kombe la Dunia zitakazotimua vumbi kwa mwezi mmoja kuanzia Juni, mwakani. Kuelekea fainali...

Vikosi vya AFCON 2025 (2); Kundi B

Na mwandishi wetu, Gazetini ZIMEBAKI siku chache tu kabla ya kuanza kwa fainali za Mataifa Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zitakazofanyika nchini Morocco. GAZETINI...

Vikosi vya AFCON 2025 (1); Kundi A

ZIMEBAKI siku chache tu kabla ya kuanza kwa fainali za Mataifa Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zitakazofanyika nchini Morocco. GAZETINI inakuletea vikosi vya wachezaji...

Taifa Stars yakabidhiwa bendera tayari kwa AFCON 2025

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi, ameiaga rasmi na kuikabidhi bendera timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa...

Lewandowski kumfuata Messi

MIAMI, Marekani INTER Miami ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS) imeripotiwa kuwa mstari wa mbele katika kuiwania saini ya mpachikaji mabao wa Barcelona raia wa...

Bayern hesabu zote kwa Fernandes

MUNICH, Ujerumani VIGOGO wa soka la Ujerumani, Bayern Munich, wanavutiwa na mpango wa kumsajili nahodha wa Manchester United, Bruno Fernandes. Fernandes mwenye umri wa miaka 31,...

Mastaa wa kigeni Bongo watakaotua AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini LIGI Kuu Bara imeendelea kuvuna ushawishi wake nje ya si tu Afrika Mashariki, bali pia katika soka la Afrika kwa ujumla. Ni...

Simulizi za AFCON (6): Mastaa na vitendo vya ushirikina

LAGOS, Nigeria MADAI ya vitendo vya kishirikina si jambo geni katika historia ya fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON). Hii ikoje? Endelea kusoma. Wakati wa fainali...

Recent articles