Ads: info@gazetini.co.tz |
27.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Hakimi abeba tuzo Mchezaji Bora Afrika

RABAT, MoroccoBEKI wa kulia wa PSG na timu ya taifa ya Morocco, Achraf Hakimi, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Shirikisho la Soka barani...

Pyramids yaibwaga Simba tuzo za CAF

RABAT, MoroccoPYRAMIDS FC ya Ligi Kuu nchini Misri imetwaa tuzo ya Klabu Bora Afrika kwa mwaka huu, ikiipiku Simba SC ya Tanzania.Mbali ya Simba,...

Jonathan Barnett; Wakala wa soka na kashfa ya ubakaji

LONDON, UingerezaUPEPO unavuma vibaya kwa Jonathan Barnett, ambapo wakala huyo wa soka anakabiliwa na mashitaka ya ubakaji mjini London.Kwa mujibu wa kile kilichoelezwa mahakamani,...

Neymar kuibukia England Januari?

RIO, BrazilMSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Brazil, Neymar, atakuwa mchezaji huru katika usajili wa dirisha dogo la usajili hapo Januari, mwakani. Mkataba wake na Santos...

Super Eagles ilivyokwama kufuzu Kombe la Dunia

LAGOS, NigeriaLICHA ya kuwa na kikosi chenye mastaa Victor Osimhen, Ademola Lookman na Alex Iwobi, timu ya soka ya taifa ya Nigeria 'Super Eagles'...

Joshua, Paul nani kupigwa ‘KO’?

LONDON, UingerezaBAADA ya tetesi nyingi na za muda mrefu, sasa ni rasmi kuwa Anthony Joshua na Jake Paul watapanda ulingoni kurushiana makonde.Ni pambano la...

Haaland na safari yake ya kwanza Kombe la Dunia 2026

MANCHESTER CITY, UingerezaNDOTO imetimia! Mshambuliaji wa kati wa Manchester City, Erling Haaland, atacheza kwa mara ya kwanza Kombe la Dunia wakati timu yake ya...

Yanga yatua Zanzibar kuisubiri AS FAR Rabat

Na Na Winfrida Mtoi, Gazetini Msafara wa kikosi cha Yanga umetua visiwani Zanzibar kwa maandalizi ya kuikabili AS FAR Rabat ya Morocco katika mchezo wa...

Ukiacha Messi, hawa nao wanakipiga Ligi Kuu ya Marekani

LONDON, UingerezaKWA miaka mingi ya hivi karibuni, Ligi Kuu ya Marekani (MLS) imekuwa ikipokea wachezaji wenye majina makubwa kutoka katika klabu za barani Ulaya,...

Kocha Nigeria: DRC walitumia uchawi kutufunga

RABAT, MoroccoBAADA ya timu ya soka ya taifa ya Nigeria 'Super Eagles' kufungwa na DRC, kocha wake, Eric Chelle, ameibua shutuma nzito dhidi ya...

Mbappe na mabao 400, rekodi kibao Ulaya

MADRID, HispaniaKABLA ya kusajiliwa na Real Madrid, Kylian Mbappe alishafunga mabao 329 na kutwaa mataji 17 katika maisha yake ya soka.Ikumbukwe, Mbappe bado ni...

Yanga v FAR Rabat; Rekodi zinabana, zinaachia

Na Hassan Mwasha, GazetiniYANGA watashuka dimbani wikiendi hii (Novemba 22) kwa mchezo wao wa kwanza wa hatua ya makundi msimu huu wa Ligi ya...

Recent articles