Ads: info@gazetini.co.tz |
25.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Tanzania v Nigeria; Dakika 90 za ‘Daudi na Goliath’ AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini HII ni mechi ya kwanza kwa kila timu msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025). Ni mechi ya...

Barcelona yatua Misri, yamtaka kinda Al Ahly

CATALUNYA, Hispania BARCELONA imeanza harakati za kumsajili kinda wa Al Ahly ya Ligi Kuu nchini Misri, Hamza Abdelkarim.Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 17, amecheza...

Mastaa Man City kupimwa uzito

MANCHESTER, Uingereza KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, ameweka wazi kuwa wachezaji wake wote watapimwa uzito, kabla ya mchezo wao dhidi ya Nottingham Forest. Timu...

Krismas na maajabu yake EPL

LONDON, Uingereza KWA mashabiki wa Ligi Kuu ya England (EPL), Sikukuu ya Krismas imekuwa na historia ya pekee kwao. Kivipi?Timu inayokuwa kileleni mwa msimamo wa...

Mastaa 10 wenye pesa ndefu AFCON 2025

RABAT, Morocco KARNE hii ya 21 imeshuhudia vipaji vikubwa vya soka barani Afrika na sasa wanaoneshana kazi katika fainali za Mataifa ya Afrika za mwaka...

Gamondi: Nigeria wasitarajie ‘kitonga’

RABAT, Nigeria KOCHA wa timu ya soka ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Miguel Gamondi, ameweka wazi kuwa vijana wake hawatotanguliza hofu mbele ya Nigeria...

Gamondi katikati ya makocha 9 AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini FAINALI za Mataifa ya Afrika za mwaka huu (AFCON 2025) zitakuwa na makocha 10 ambao itakuwa ni mara yao ya kwanza...

Aubameyang kukosa ufunguzi AFCON 2025

MARSEILLE, Ufaransa SHIRIKISHO la Soka la Gabon (FEGAFOOT) limethibitisha kuwa straika wa timu ya taifa hilo, Pierre-Emerick Aubameyang, atakosekana katika mchezo wao wa kwanza wa...

Mambo 5 kuhusu kocha mpya Simba

Na mwandishi wetu, Gazetini HATIMAYE ni Steve Barker ndiye aliyetangazwa kuwa kocha mkuu mpya wa Simba akichukua mikoba ya Dimitar Pantev aliyefungashiwa virago wiki chache...

Yanga, Injinia Hersi; ‘win-win situation’ iliyorudisha chenji

Na Hassan Mwasha, Gazetini 'Win-win situation' ni nini? Ni pale pande mbili au zaidi zilizo kwenye mahusiano au ushirika wa kibiashara zinaponufaika kwa pamoja, pasi...

Arsenal, Chelsea kukutana robo fainali Ligi ya Mabingwa?

LONDON, Uingereza NI Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa soka la wanawake, ambapo huenda hatua ya robo fainali ikawashuhudia mabingwa watetezi, Arsenal, wakavaana na Chelsea. Hata hivyo,...

‘Hatuna mgogoro, Wanasimba msisikilize porojo’

Na mwandishi wetu, Gazetini MWENYEKITI wa klabu ya Simba, Murtaza Mangungu, amekanusha taarifa za kuwapo kwa mgogoro kati ya viongozi, akisema ni upotoshaji unaifanywa kwa...

Recent articles