Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Mourinho apewa Madrid

NYON, Uswis HATIMAYE Droo ya mechi za 'play off' za kusaka tiketi ya kucheza hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imechezeshwa leo...

Grealish nje hadi msimu ujao

MERSEYSIDE, England NI pigo kwa Jack Grealish, ambapo mshambuliaji huyo wa Everton atalazimika kuwa nje ya uwanja kwa kipindi chote cha msimu huu. Grealish anayecheza kwa...

Yanga yamponza staa Al Ahly, afungiwa wiki mbili

CAIRO, Misri KLABU ya Al Ahly imemtoza faini kiungo wake raia wa Misri, Emam Ashour, kwa kitendo chake cha kushindwa kusafiri na kikosi kitakachoivaa Yanga. Timu...

Hatimaye CAF yazishughulikia Senegal, Morocco

CAIRO, Misri SHIRIKISHO la Soka barani Afrika (CAF) limeziadhibu timu za taifa za Senegal na Morocco kwa vitendo vya utovu wa nidhamu vilivyooneshwa katika mechi...

Al Ahly yaanza safari kuifuata Yanga Zanzibar

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Klabu ya Al Ahly ya nchini Misri imeanza safari kuelekea Zanzibar kwa ajili ya mchezo wa hatua ya makundi ya...

TFF yaupiga kufuri Uwanja wa KMC

Na Mwandishi Wetu, Gazetini  SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limeufungia uwanja wa KMC, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam kutumika kwa  mechi za  Ligi kutokana...

Simba SC: ‘Do or Die’ kuwavusha makundi Ligi ya Mabingwa Afrika?

Na mwandishi wetu, Gazetini 'DO or Die' ndicho kitu pekee wanachohitaji Simba ili kuvuka makundi na kuingia robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu...

Kipa wa zamani Yanga afariki dunia, alimnoa Kindoki

Na Winfrida Mtoi, Gazetini KIPA wa zamani wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania, Peter Manyika amefariki dunia leo Januari 26, 2025, wakati akiwa...

Visual| Makocha bora 10 wa muda wote EPL

LONDON, Uingereza KWA miaka zaidi ya 33, Ligi Kuu ya England (EPL) imeshuhudia makocha wakiingia na kutoka, wachache tu wakimudu ushindani uliopo na kujijengea heshima...

Riccardo Leighton; Anavuna pesa nyingi kuwauzia magari mastaa EPL

LONDON, Uingereza Leighton ndiye anayewauzia magari mastaa wengi wa klabu. Miongoni mwao wachezaji aliochota fedha zao kwa kuwauzia 'mandinga' ya kifahari ni Harry Kane, John...

Marc Guehi; Usajili wa nguvu kwa Pep Guardiola

MANCHESTER, Uingereza MANCHESTER City imekamilisha usajili wa beki wa kati kutoka Crystal Palace, Marc Guehi, ambaye ametokea Crystal Palace kwa ada ya Pauni milioni 20. Guehi...

Aston Villa wamfungia kazi Abraham

LONDON, Uingereza KLABU ya Aston Villa haijarudi nyuma katika mkakati wao wa kumsajili mpachikaji mabao wa zamani wa Chelsea, Tammy Abraham. Nyota huyo wa kimataifa wa...

Recent articles