Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Martinez awindwa Inter Milan

MILAN, Italia KLABU ya Inter Milan imeanza harakati za kuinasa saini ya mlinda mlango wa Aston Villa na timu ya taifa ya Argentina, Emi Martinez. Inter...

Kovac atajwa kibarua Man United

MANCHESTER, Uingereza JINA la Niko Kovac limeingia rasmi katika orodha ya makocha wanaohusishwa na kibarua cha kuinoa Manchester United msimu ujao. Taarifa rasmi zinaeleza kuwa kocha...

Morocco yakimbilia FIFA kisa fainali ya AFCON

RABAT, MoroccoSHIRIKISHO la Soka la Morocco (FRMF) limeweka wazi mpango wake wa kuiandikia barua ya malalamiko Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kupinga kile...

Visual| A-Z yaliyojiri fainali za AFCON 2025

RABAT, Morocco BAO pekee la staa wa Villarreal ya Hispania, Pape Gueye, limehitimisha msimu huu wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) kwa kuipa...

Sadio Mane anavyoibeba mabegani Senegal

DAKAR, Senegal WAKATI timu ya taifa ya Senegal inatwaa ubingwa wa fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa kuifunga Misri mwaka 2021, Sadio Mane ndiye...

Olivier Toure naye atua Simba

Na mwandishi wetu, Gazetini BEKI wa zamani wa Stellenbosch FC ya Afrika Kusini, Ismael Olivier Toure, amejiunga na kikosi cha Simba kupitia kipindi hiki cha...

Mbappe aibuka Alonso kufukuzwa

MADRID, Hispania MSHAMBUALIJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe, anaamini si sahihi kusema Xabi Alonso alifeli katika kibarua chake cha kuinoa timu hiyo. Alonso alifungashiwa virago hivi...

Madrid kung’oa kiungo Chelsea?

LONDON, Uingereza KLABU ya Real Madrid inampigia hesabu kiungo wa Chelsea, Enzo Fernandez, ikipanga kukamilisha usajili huo ifikapo mwishoni mwa msimu huu wa 2025-26. Madrid inataka...

Depu atupia Yanga ikiichabanga Mashujaa mabao 6-0

Na Winfrida Mtoi, Gazetini WANANCHI Yanga wameichakaza timu ya Mashujaa mabao 6-0, huku nyota mpya wa kikosi hicho Laurindo Aurelio maarufu Depu akitupia bao moja...

Makonda akabidhi barua ya Rais Samia CAF

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda amekutana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Dk....

Senegal mabingwa wa AFCON baada ya fainali tata dhidi ya Morocco

RABAT, Morocco TIMU ya taifa ya Senegal imetwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuifunga Morocco bao 1-0 katika fainali ya...

Man United yamkomalia Baleba

MANCHESTER, Uingereza KLABU ya Manchester United imeendelea kukazia harakati zake za kumsajili kiungo wa Brighton na timu ya taifa ya Cameroon, Carlos Baleba. Man United ilijaribu...

Recent articles