Ads: info@gazetini.co.tz |
25.8 C
Dar es Salaam

Michezo

Marekani waanza kibabe, bao lao lavunja rekodi ya miaka 20

LOS ANGELES, Marekani TIMU ya soka ya Taifa ya Marekani imeanza na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Paraguay katika mechi ya Kundi D msimu...

Partey azuiwa kuingia Canada, kukosa mechi ya kwanza ya Ghana

TORONTO, Canada KIUNGO Thomas Partey atakosekana wakati timu ya Taifa ya Ghana itakapocheza mechi ya kwanza ya msimu huu wa Kombe la Dunia. Ni baada ya...

Kumbe wanamuziki hawalipwi kutumbuiza Kombe la Dunia

MEXICO CITY, Mexico KUTUMBUIZA katika ufunguzi wa Kombe la Dunia, kama walivyofanya Shakira na Burna Boy, kunaweza kutafsiriwa kuwa ni dili linalowapa pesa nyingi wanamuziki...

Canada, Bosnia zamalizana kwa sare

TORONTO, Canada HAKUNA mbabe. Ni dakika 90 za mchezo wa Kundi B uliochezwa Juni 12, 2026, ambapo wenyeji wa michuano ya mwaka huu ya Kombe...

Ndugu wanaocheza timu tofauti Kombe la Dunia 2026

MEXICO CITY, Mexico FAINALI za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zinaendelea katika mataifa matatu ya Marekani, Mexico na Canada. Wakati huo huo, wapo wachezaji...

Bafana Bafana waitangazia vita Czech

MEXICO CITY, Mexico BAADA ya kufungwa mabao 2-0 na wenyeji Mexico, beki wa timu ya soka ya Taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana', Ime Okon,...

Thomas Tuchel: Kutoka uhudumu wa baa hadi ukocha Kombe la Dunia

LONDON, Uingereza WAKATI timu ya soka ya Taifa ya England inacheza Kombe la Dunia mwaka 1998, kocha wao wa sasa, Thomas Tuchel, alikuwa muhudumu wa...

Aliyetokea benchi aiokoa Korea Kusini mbele ya Czech

ZAPOPAN, Mexico TIMU ya soka ya Taifa ya Korea ya Kusini imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Jamhuri ya Czech katika mchezo wa alfajiri...

Mexico yaizima Afrika, yaitandika Bafana Bafana

MEXICO City, Mexico TIMU ya soka ya Taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana' imeanza na mguu mbaya fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu...

‘Special One’ atambulishwa Santiago Bernabeu

MADRID, Hispania KLABU ya Real Madrid imemtambulisha rasmi Jose Mourinho kuwa kocha wao. Mreno huyo mwenye umri wa miaka 63 amesaini mkataba wa miaka mitatu...

UEFA yamkabidhi PSG refa aliyebaniwa Kombe la Dunia

MOGADISHU, Somalia ZIKIWA ni siku chache tu tangu alipozuiwa kuingia Marekani, hivyo kukosa nafasi ya kuchezesha Kombe la Dunia, mwamuzi raia wa Somalia, Omar Artan,...

Shabiki afariki akiingia uwanjani Kombe la Dunia

MEXICO CITY, Mexico SHABIKI wa soka mwenye umri wa miaka 80 amefariki muda mfupi kabla ya kuingia uwanjani kuitazama Mexico ikivaana na Afrika Kusini katika...

Recent articles