MIAMI, Marekani
ANAITWA Slavko Vincic, mwamuzi wa kati aliyeteuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kucheza mechi ya fainali msimu huu wa Kombe la...
BOSTON, Marekani
MSIMU huu wa Kombe la Dunia unaelekea ukingoni. Fainali itachezwa kesho Jumapili, Julai 19, 2026, katika Uwanja wa MetLife nchini Marekani, ikizikutanisha Argentina...
LONDON, Uingereza
KOCHA wa zamani wa Manchester City, Pep Guardiola, amemtaja Neymar kuwa ndiye mchezaji aliyetamani zaidi kufanya naye kazi.
Wawili hao walipishana Barcelona kwani wakati Guardiola...
LONDON, Uingereza
MKONGWE wa soka, Zlatan Ibrahimovic, amemtaka Zinedine Zidane kutua katika benchi la ufundi la timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa endapo atarudi kazini.
Ibrahimovic...
MIAMI, Marekani
AKIWA na umri wa miaka 91 kwa sasa, Enrique Macaya Marquez ni miongoni mwa waandishi wa habari walioko Marekani wakisubiri kuripoti mechi ya...
MIAMI, Marekani
LICHA ya matumaini makubwa waliyokuwa nayo, mashabiki wa timu ya soka ya Taifa ya England wamelikosa tena taji la fainali za Kombe la...
LONDON, Uingereza
RATIBA ya Ligi Kuu ya England (EPL) kwa msimu ujao wa 2026-27 iko hadharani. Je, lini mechi zitaanza na nani kufungua pazia?
AGOSTI 21,...
MIAMI, Marekani
NAHODHA wa timu ya soka ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi, amezipuuza taarifa zinazodai kuwa wanabebwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).
Messi...
MIAMI, Marekani
LEJENDARI wa soka, Zlatan Ibrahimovic, ameibuka baada ya timu ya soka ya Taifa ya England kufungwa mabao 2-1 na Argentina katika mchezo wa usiku...
Na mwandishi wetu, Gazetini
SIYO habari mpya kwamba mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, amejiunga na Newroz SC akitokea Al-Talaba, zote za Ligi Kuu...