Ads: info@gazetini.co.tz |
24.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Timu zilizopigwa marufuku kucheza Kombe la Dunia

NYON, Uswis ZIPO sababu kuu tatu zinazoweza kuisukuma FIFA (Shirikisho la Soka la Kimataifa) kuipiga 'stop' timu ya taifa iliyo sehemu ya wanachama wake kushiriki...

Mabao ya nje ya boksi yaweka rekodi

MIAMI, Marekani HATA kabla ya fainali kuchezwa, tayari idadi ya mabao yaliyofungwa kwa mashuti ya nje ya boksi ilishavunja rekodi ya fainali za Kombe la...

Ken Bates: Bosi mtata aliyeiuza Chelsea kwa Abramovich

LONDON, Uingereza  SIKU chache zilizopita, ulimwengu wa soka ulimpoteza binadamu aitwaye Ken Bates, ambaye alifariki akiwa na umri wa miaka 94. Bates aliwahi kuimiliki Chelsea kwa...

Ufaransa yaweka rekodi mbaya Kombe la Dunia

MIAMI, Marekani  KATIKA kipigo cha mabao 6-4 kutoka kwa England, timu ya soka ya Taifa ya Ufaransa imeweka rekodi mbaya zaidi kuwahi kuwakuta katika miaka...

Leverkusen wafanya balaa ‘pre-season’ 

MUNICH, Ujerumani  BAYERN Leverkusen ya Bundesliga imeyaanza vizuri maandalizi ya msimu ujao (pre-season) kwa ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Sportfreunde Baumberg. Katika mchezo huo, straika...

Olise avunja rekodi ya Pele

MIAMI, Marekani MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya Ufaransa, Michael Olise, ameivunja rekodi ya mkongwe wa Brazil, Pele. Nyota huyo wa Bayern Munich ameandika historia mpya,...

Mastaa hawa Kombe la Dunia limewapa kiki Instagram

MIAMI, Marekani KWA kipindi cha mwezi mmoja wa michuano ya Kombe la Dunia msimu huu wa 2026, Erling Haaland ameongeza wafuasi milioni 29 katika akaunti yake...

Safari ya Hispania kutinga fainali

MIAMI, Marekani HISTORIA inarudisha kilichotokea miaka 16 iliyopita, ambapo timu ya soka ya taifa ya Hispania ilitwaa ubingwa wa Kombe la Dunia ikiwa kwenye ardhi...

Safari ya Argentina kutinga fainali

MIAMI, Argentina ARGENTINA ya kocha Lionel Scaloni itaingia katika mchezo huo wa fainali dhidi ya Hispania ikiwa bingwa mtetezi kwa taji lake la miaka minne...

Rais Trump ageuka mchambuzi, amvaa Tuchel

MIAMI, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amekosoa mbinu za kocha Thomas Tuchel akisema ndizo zilizoigharimu timu ya soka ya taifa ya England katika nusu...

Aubameyang arudi La Liga, atua Deportivo

MADRID, Hispania STRAIKA wa zamani wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang, amejiunga na Deportivo La Coruna ya Ligi Kuu ya Hispania (La Liga). Nyota huyo raia wa Gabon...

Wakala afunguka Salah kutimkia Uturuki

MERSEYSIDE, Uingereza WAKALA wa Mohamed Salah, Ramy Abbas Issa, ameibuka na kukanusha taarifa zinazodai kuwa mshambuliaji huyo amekubali kujiunga na Besiktas ya Ligi Kuu nchini...

Recent articles