Ads: info@gazetini.co.tz |
21.5 C
Dar es Salaam

Michezo

Hivi ndivyo Chelsea walivyoteseka 2025-26

LONDON, Uingereza BLUES waliuingia msimu huu wakiwa na 'mzuka' baada ya kutwaa mataji makubwa mawili; Ligi ya Europa na Kombe la Dunia kwa ngazi ya...

David Raya alifanya mazoezi timu mbili tofauti ili kutimiza ndoto

LONDON, Uingereza AKIWA na umri wa miaka 16, bado David Raya hakuwa akifahamika katika ulimwengu wa soka. Alikuwa kipa asiye na nafasi ya kuanza hata...

Refa aliyetoswa Kombe la Dunia kuamua fainali ya Arsenal, PSG

LONDON, Uingereza WIKIENDI hii, Washika Bunduki wa London, Arsenal, na matajiri wa Paris, PSG, watavaana katika mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Vita hiyo...

Serengeti Boys v Senegal: Ni fainali ya aina gani AFCON?

Na mwandishi wetu, Gazetini TIMU ya soka ya Taifa ya U-17 ya Tanzania, Serengeti Boys, itashuka dimbani wikiendi hii, Juni 2, 2026, kumenyana na Senegal...

Baada ya kufukuzwa Kaizer, kocha Yanga aibukia huku

PRETORIA, Afrika Kusini ZIKIWA ni siku chache tu zimepita tangu kocha wa zamani wa Yanga, Cedric Kaze, afukuzwe Kaizer Chiefs, ameanza mazungumzo na Sekhukhune United...

Barca kumlipa Gordon mshahara wa bil. 21.4/-

CATALUNYA, Hispania WINGA wa kimataifa wa England, Anthony Gordon, amejiunga na Barcelona na mshahara wake ni euro milioni saba (zaidi ya Sh bil. 21.4 za...

Yametimia! Mourinho asaini miaka mitatu Madrid

MADRID, Hispania NI rasmi Real Madrid imemrejesha Jose Mourinho kuwa kocha wao mpya na Mreno huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu Hata hivyo, 'Special One' mwenye...

Afrika na ndoto ya Pele fainali za Kombe la Dunia 2026

CAIRO, Misri MKONGWE wa soka la Brazil, Pele, aliwahi kutabiri kuwa siku moja Kombe la Dunia litatua Afrika. Alisema hilo lingetokea mwaka 2000. Isivyo habari,...

Carlo Ancelotti na ‘mzimu’ wa Neymar, kikosi cha mastaa Brazil

RIO, Brazil UNAPOITAJA timu ya soka ya Taifa ya Brazil, unazungumzia mabingwa mara nyingi zaidi katika historia ya Kombe la Dunia. Wamelibeba taji hilo mara...

Serengeti Boys yamkosha Arsene Wenger

Na mwandishi wetu, Gazetini ALIYEWAHI kuwa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger, amekunwa na kiwango kizuri cha timu ya soka ya vijana wa U-17 ya Tanzania...

Klabu ipi EPL ina mastaa wengi Kombe la Dunia 2026?

LONDON, Uingereza MASTAA zaidi ya 100 wa klabu za Ligi Kuu ya England (EPL) watakuwa katika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu zitakazoanza...

Uholanzi na ndoto isiyotimia Kombe la Dunia

AMSTERDAM, Uholanzi KWA Taifa kama Uholanzi, ambalo historia yake ya kuzalisha vipaji vikubwa vya soka inafahamika, inaweza kushangaza kuona haijwahi kutwaa ubingwa wa Kombe la...

Recent articles