MWANDISHI WETU, GazetiniNI rasmi sasa, kwamba benchi la ufundi la Yanga liko chini ya kocha mpya raia wa Ufaransa, Romain Folz.Ikielezwa kuwa amesaini mkataba...
LONDON, EnglandALIYEWAHI kuwa mchezaji wa Arsenal, Jay Emmanuel-Thomas, amejiunga na AFC Totton, zikiwa ni wiki chache tu tangu alipotoka jela.Jay alihukumiwa kifungo cha miaka...
LONDON, EnglandCHELSEA wanakaribia kukamilisha usajili wa kiungo wa RB Leipzig na timu ya taifa ya Uholanzi, Xavi Simons.Baada ya kumuuza Noni Madueke aliyejiunga na...
MADRID, HispaniaREAL Madrid wametenga Pauni milioni 100 (zaidi ya Sh bil. 348 za Tanzania) za kuibomoa Manchester City kwa kumchukua kiungo wao, Rodri.Kocha mpya,...
MUNICH, UjerumaniKOCHA wa Bayer Leverkusen, Erik ten Hag, ameweka wazi kuwa kiungo wake raia wa Uswis,Granit Xhaka, hauzwi.Xhaka aliyewahi kukipiga Arsenal, anahusishwa na mpango...
MANCHESTER, EnglandBAADA ya kutangazwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa Barcelona, Marcus Rashford amesema anajisikia yuko nyumbani.Rashford mwenye umri wa miaka 27, amejiunga na Barca...
MANCHESTER, EnglandBEKI wa kati, Harry Maguire, hajaongozana na kikosi cha Manchester United kilichoelekea Chicago, Marekani, kwa ajili ya kambi ya maandalizi ya msimu ujao.Maguire...
MADRID, HispaniaKLABU ya Liverpool inafuatilia kwa karibu hatima ya staa wa Real Madrid, Rodrygo.Kwa wiki za hivi karibuni, Rodrygo raia wa Brazil amekuwa akihusishwa...
LONDON, EnglandKITENDO cha mshambuliaji wa Brentford, Yoane Wissa, kuondoka katika kambi ya timu hiyo huko Ureno kimeibua tetesi kuwa huenda amerejea London kukamilisha usajili...
MERSEYSIDE, EnglandLIVERPOOL wamefanikisha usajili wa mpachikaji mabao Hugo Ekitike, huku dili hilo likigharimu Pauni milioni 79 (zaidi ya Sh bil. 277 za Tanzania).Ikumbukwe, nyota...
LONDON, EnglandMSHAMBULIAJI wa Arsenal, Gabriel Magalhaes, anaamini msimu ujao ni wao katika kunyakua mataji.Kwa miaka sita ya kocha Mikel Arteta, Arsenal wamebeba taji la...
Na Mwandishi Wetu
Timu ya Taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ imejiondoa katika mashindano maalumu ya CECAFA yaliyopangwa kuanza leo Julai 21,2025 jijini Arusha kwa ajili ya maandalizi...