Ads: info@gazetini.co.tz |
31.2 C
Dar es Salaam

Michezo

Pacquiao amtamani tena Barrios

LAS VEGAS, MarekaniMKONGWE wa ndondi za uzito wa welter, Manny Pacquiao, amesema anatamani kuona akirudiana na bingwa wa WBC, Mario Barrios.Pacquiao mwenye umri wa...

Sinner, Djokovic kuikosa National Bank Open

LOS ANGELES, MarekaniMASTAA wa tenesi, Jannik Sinner na Novak Djokovic, hawatoshiriki michuano ijayo ya National Bank Open itakayofanyika Canada.Wawili hao walitarajiwa kushiriki mashindano hayo...

Usyk achota bil. 343/- kwa dk. 14 tu

LONDON, EnglandKWA ushindi wa 'KO' ya raundi ya tano dhidi ya Daniel Dubois, Oleksandr Usyk amevuna Pauni milioni 98 (zaidi ya Sh bil. 343...

Pickford kusaini miaka minne Everton

MERSEYSIDE, EnglandMABOSI wa Everton wanakaribia kutangaza mkataba mpya wa miaka minne mlinda mlango wao raia wa England, Jordan Pickford.Pickford mwenye umri wa miaka 31,...

Rashford rasmi kwa mkopo Barca

MANCHESTER, EnglandIMERIPOTIWA kuwa mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford, atatimkia Barcelona kwa mkataba wa mkopo.Barca walifika mezani na ofa yao ya mkopo na Man...

Kocha Spurs ahofia kufukuzwa

LONDON, EnglandKOCHA mpya wa Tottenham, Thomas Frank, hajawahi kufukuzwa kazi lakini sasa anahofia kuipoteza rekodi hiyo.Frank raia wa Denmark, anakuwa kocha wa 14 kwa...

Arsenal yakamilisha dili la Madueke

LONDON, EnglandKLABU ya Arsenal imefanikiwa kuinasa saini ya winga wa kimataifa wa England, Noni Madueke.Arsenal imemng'oa nyota huyo Chelsea, huku usajili huo ukiripotiwa kugharimu...

Usky: Umri namba tu, nitamchakaza Dubois

LOS ANGELES, MarekaniKUELEKEA pambano lao la kesho, Oleksandr Usyk amesema umri wake mkubwa hautamzuia kumtandika Daniel Dubois.Hii inakuwa mara ya pili kukutana baada ya...

Bondia apigwa risasi Urusi

MOSCOW, UrusiSTAA wa mchezo wa ngumi, Timur Khizriev, ameripotiwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana.Video iliyosambaa mitandaoni inamuonesha bingwa huyo wa uzito wa feather akivamiwa...

Mbeumo pasua kichwa Man United

MANCHESTER, EnglandMABOSI wa Manchester United wamelazimika kurudi kwa mara ya tatu kwa Brentford wakijaribu kuishawishi kumwachia Bryan Mbeumo.Kwa mujibu wa ripoti mpya, safari hii...

Snoop Dogg ainunua Swansea City

LOS ANGELES, MarekaniSUPASTAA wa muziki wa Hip hop, Snoop Dogg, amenunua hisa katika klabu ya Swansea City.Kwa kufanya hivyo, sasa rapa huyo anakuwa sehemu...

Mtoto wa Ancelotti ‘aula’ Brazil

RIO, BrazilDAVIDE Ancelotti ambaye ni mtoto wa kocha Carlo Ancelotti, amekabidhiwa mikoba ya kuinoa Botafogo ya Ligi Kuu ya Brazil.Davide amekuwa na kikosi hicho...

Recent articles