LONDON, EnglandMARA ya mwisho kwa Liverpool kuchukua mara mbili mfululizo taji la Ligi Kuu ya England (EPL) ni mwaka 1984. Je, watarudia maajabu hayo...
Na Mwandishi Wetu
Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeandika historia kwa mara kwanza kwa kutinga robo fainali ya michuano ya CHAN 2024, ikiichapa...
MERSEYSIDE, EnglandKOCHA wa Liverpool, Arne Slot, amefichua kuwa atamtumia mchezaji wake mpya, Jeremie Frimpong, katika eneo analocheza staa wa timu hiyo, Mohamed Salah.Salah raia...
ISTANBUL, UturukiVIGOGO wa Ligi Kuu ya Uturuki, Besiktas, wamethibitisha kuinasa saini ya kiungo wa kimataifa wa Nigeria, Wilfred Ndidi.Ndindi aliyeitumikia Leicester kwa miaka nane,...
NAIROBI, KenyaILE ahadi ya Rais wa Kenya, William Ruto, kuwapa kitita cha fedha katika kila ushindi imeendelea kuwatajirisha wachezaji wa Harambee Stars.Rais Ruto aliahidi...
MUNICH, UjerumaniKLABU ya Bayern Munich imesitisha mkataba wa kuitangaza sekta ya utalii ya Rwanda kupitia ujumbe wa ‘Visit Rwanda’ kwenye jezi zake.Hatua hiyo ya...
Na mwandishi wetu, GazetiniTIMU ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', leo itashuka dimbani kumenyana na Madagascar, ukiwa ni mtanange wa fainali za...
MADRID, HispaniaKLABU ya Real Madrid imeanza harakati za kuinasa huduma ya mlinda mlango wa Barcelona, Marc-Andre Ter Stegen.Ripoti zinaeleza kuwa kocha wa Madrid, Xabi...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Klabu ya Simba SC imepanda hadi nafasi ya tano katika viwango vipya vya ubora vya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF),...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KLABU ya Yanga imetangaza rasmi kuwa Mkutano Mkuu wake utafanyika Septemba 7, mwaka huu.Taarifa rasmi ya Yanga kwa wanachama wake imeweka...