LONDON, EnglandMSIMU mpya wa uhondo wa mechi za Ligi Kuu ya England (EPL) ulianza jana. Kama ilivyo kawaida, wapo wachezaji wanaopewa nafasi kubwa ya...
LONDON, EnglandMECHI kubwa ya kwanza msimu huu wa Ligi Kuu ya England (EPL), ambapo Jumapili hii Manchester United watakuwa nyumbani Old Trafford kuwakaribisha Washika...
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamagamba Kabudi, amemteua mwandishi wa habari, Patrick Nyembera kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kamisheni...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
BONDIA wa Kimataifa wa ngumi za kulipwa Tanzania, Hassan Mwakinyo anatarania kupanda ulingoni Desemba 26, 2025, jijini Mwanza, huku akitamani kupata...
Na Mwandishi Wetu
Klabu ya Yanga imewaomba radhi mashabiki wake na kutoa kuhusu fedha kiasi cha sh 100 milioni walizotoa mchango katika harambee ya kuchangia...
Na Mwandishi Wetu
Klabu ya Dodoma Jiji imeachana na mchezaji Ibrahim Ajibu aliyejiunga na timu hiyo msimu uliopita.
Tangu klabu hiyo imemtangaza kocha mpya, Vincent Mashami...
ISTANBUL, UturukiKUELEKEA msimu ujao, klabu za Ligi Kuu ya Uturuki zimeonekana kuvimbiana na zile za matajiri wa Saudi Arabia katika soko la usajili la...
MANCHESTER, UingerezaBAADA ya tetesi za muda mrefu, Manchester United imevunja kibubu na kuchomoa kitita cha Pauni milioni 74 kumsajili mpachikaji mabao wa kimataifa wa...
MUNICH, UjerumaniMSHAMBULIAJI mpya wa Liverpool, Florian Wirtz, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ujerumani.Wirtz aliyetua Anfield kwa ada ya Pauni milioni 116,...
TOKYO, JapanBONDIA raia wa Japan, Hiromasa Urakawa, amepoteza maisha ikiwa ni wiki moja tu tangu alipopoteza pambano lake kwa 'KO' mbele ya Yoji Saito.Pambano...
PARIS, UfaransaKWA misimu minne mfululizo, Rasheedat Ajibade amekuwa mchezaji muhimu katika safu ya ushambuliaji ya Atletico Madrid na sasa PSG wanajaribu kuinasa saini ya...