BAMAKO, Mali
HALI ya taharuki imeibuka nchini Mali baada ya wanajeshi takarbani 50 kushikiliwa kwa madai ya kusuka mpango wa kuipindua Serikali inayoliongoza Taifa hilo...
Na Jonathan Benedict, Gazetini
Idadi inayoongezeka ya viongozi duniani sasa wanazingatia ujuzi wa kutumia Akili Unde au bandia (AI) kama sharti lisiloweza kupuuzwa wakati wa...
Na mwandishi wetu, GazetiniKWA wiki chache za hivi karibuni, medani ya siasa barani Afrika imeshuhudia purukushani wanazopitia wanasiasa wa upinzani katika mataifa ya Ivory...
ISTANBUL, UturukiKUELEKEA msimu ujao, klabu za Ligi Kuu ya Uturuki zimeonekana kuvimbiana na zile za matajiri wa Saudi Arabia katika soko la usajili la...
LOS ANGELES, MarekaniRAIS wa Marekani, Donald Trump, atakutana na mwenzake wa Urusi, Vladimir Putin, mwishoni mwa wiki hii. Mkutano huo utafanyika Ijumaa ya Agosti...
MANCHESTER, UingerezaBAADA ya tetesi za muda mrefu, Manchester United imevunja kibubu na kuchomoa kitita cha Pauni milioni 74 kumsajili mpachikaji mabao wa kimataifa wa...
PARIS, UfaransaKWA misimu minne mfululizo, Rasheedat Ajibade amekuwa mchezaji muhimu katika safu ya ushambuliaji ya Atletico Madrid na sasa PSG wanajaribu kuinasa saini ya...
LONDON, EnglandMARA ya mwisho kwa Liverpool kuchukua mara mbili mfululizo taji la Ligi Kuu ya England (EPL) ni mwaka 1984. Je, watarudia maajabu hayo...
LOME, TogoMIEZI mitatu iliyopita, siasa za Taifa la Togo zilitikiswa na hatua ya Rais Faure Gnassingbe kutangaza kujiuzulu. Tangu hapo, wadhifa huo umekuwa chini...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Wakati dunia ikibadilika kwa kasi kupitia maendeleo ya teknolojia na tiba za kisasa, barani Afrika bado kuna mamilioni ya wanawake wanaoendelea...
LONDON, Uingereza
MSIMU uliopita, tuzo maarufu ya Mchezaji Bora wa Mwaka ya jarida la France Football, Ballon d'Or, ilitua mikononi mwa kiungo wa Manchester City...