RIYADH, Saudi ArabiaSERIKALI ya Saudi Arabia iko mstari wa mbele ikiiunga mkono Palestina katika harakati za za kutaka kutambulika kama nchi huru nje ya...
LUSAKA, Zambia
HIVI karibuni, Afrika iliwapoteza marais wastaafu wawili kutoka mataifa ya Nigeria na Malawi, Muhammadu Buhari na Edgar Lungu, ambao wote walikuwa nje ya...
Na Mwandishi Wetu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa maendeleo katika sekta ya elimu ni mkombozi na mafanikio ya Taifa lolote duniani.
Amesema kwa kutambua hilo,...
LONDON, UingerezaUKILIWEKA kando jina la Harry Kane, Son Heung-min anaweza kuwa mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea katika klabu ya Tottenham kwa miaka ya hivi...
PRETORIA, Afrika KusiniMATAIFA ya Afrika yanakabiliwa na kiwango cha juu cha ushuru kwa bidhaa zake zitakazoingia Marekani, ikiwa ni sera ya utawala wa Rais...
LONDON, Uingereza
KUTEMBEA haraka, walau kwa dakika 15 tu kila siku, huimarisha afya ya moyo na kuepusha vifo vya mapema kwa asilimia 19, utafiti umebaini....
NEW DELHI, India
TAKWIMU za wanafunzi 13,000 kujiua kila mwaka zimewaibua wataalamu wa afya ya akili nchini India, wakizitaka mamlaka kuamka na kuchukua hatua za...
LONDON, UingerezaACHANA na mashambulizi ya makombora yanayotupwa kila uchwao na Israel, raia wa Palestina walioko katika Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na shida nyingine kubwa...
LONDON, EnglandBAADA ya kutwaa mataji ya Conference League, Chelsea walihitimisha furaha yao wikiendi iliyopita kwa kuifunga PSG mabao 3-0 na kubeba ubingwa wa Kombe...
YAOUNDE, CameroonHATUA ya Rais wa Cameroon, Paul Biya, kutangaza nia ya kugombea tena katika Uchaguzi Mkuu ujao imeonekana kuzua mjadala mkubwa katika siasa za...
BAMAKO, MaliKWA miaka ya hivi karibuni, Ukanda wa Afrika Magharibi umekuwa ukiandamwa na mashambulizi ya kigaidi yanayotekelezwa na Kundi la Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin...