Ads: info@gazetini.co.tz |
23.5 C
Dar es Salaam

Makala

Mechi 42, mabao 36 Ligi Kuu Bara 2025-26

Na Hassan MwashaKABLA ya mapumziko ya kupisha mechi za timu za taifa zilizo kwenye kalenda ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), msimu huu...

Gamondi mtu wa kazi Singida Black Stars

Na Hassan Mwasha, GazetiniUKIACHA Simba, Singida Black Stars ndiyo timu pekee ambayo si tu haijafungwa, bali pia imeshinda mechi zote ilizoshuka dimbani msimu huu...

Mbeya City kwa Yanga, Pamba Jiji na Tabora

Na Hassan Mwasha, GazetiniKUFIKIA hatua hii ya msimu wa 2025-26 wa Ligi Kuu Bara, zimeshashuhudiwa sare 12 lakini suluhu (0-0) ni mbili pekee, kwa...

Safari ya Xiaomi kuelekea nguvu ya teknolojia ya Dunia

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Miaka michache tu iliyopita, jina Xiaomi lilikuwa geni kwa wengi nje ya China. Lakini leo, jina hilo limegeuka kuwa alama ya...

Stars ina safari ndefu, huo ndiyo ukweli

Na mwandishi wetu, GazetiniMATUMAINI ya mashabiki wa soka nchini kuiona timu yao ya Taifa, Taifa Stars, ikifuzu fainali zijazo za Kombe la Dunia yameota...

Inashangaza kuona hakuna anayejali, maisha yanaendelea!

Na Hassan Mwasha, GazetiniTUMEKUWA tukiishi kwa mazoea hata katika mambo yanayoweza kuhatarisha maisha yetu. Cha kushangaza, hakuna anayejali. Tuko 'bize' kwa lipi wakati maisha...

Peru na historia ya marais wastaafu kutupwa gerezani

LIMA, PeruKUTOKANA na sababu mbalimbali, nyingi zikihusiana na vitendo vya rushwa, marais wastaafu nchini Peru wamejikuta wakianza maisha mapya ya gerezani baada ya kutoka...

Singida Black Stars na safari yao ya kibabe CAF

Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuisukuma nje ya mashindano Rayon Sports ya Rwanda, Singida Black Stars wameonga mbele na kuingia hatua ya pili ya...

Hawa hapa wapinzani wa Yanga raundi ya pili CAF

Na mwandishi wetu, GazetiniMABINGWA wa Ligi Kuu Bara, Yanga, nao wametinga raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni baada ya kuing'oa Wiliete...

Ramani ya Simba kuingia makundi CAF

Na mwandishi wetu, GazetiniBAADA ya kuing'oa Gaborone United ya Botswana, sasa Simba itaivaa Nsingizini Hotspurs ya Ligi Kuu ya Eswatini katika raundi ya pili...

Usiyoyajua kuhusu Askofu Mkuu wa kwanza mwanamke Kanisa la Anglikana

LONDON, UingerezaKANISA la Anglikana limeandika historia baada ya kumteua Dame Sarah Mullally kuwa Askofu Mkuu wa Canterbury, akiwa ni mwanamke wa kwanza kushika nafasi...

Dhambi ya usaliti inamtafuna Nicolas Sarkozy?

Na mwandishi wetu, GazetiniHIVI karibuni, Mahakama ya Uhalifu ya Paris, Ufaransa, ilimuhukumu kifungo cha miaka mitano gerezani aliyewahi kuwa Rais wa nchi hiyo, Nicolas...

Recent articles