Ads: info@gazetini.co.tz |
22.7 C
Dar es Salaam

Makala

Kutembea haraka hupunguza vifo vya mapema

LONDON, Uingereza KUTEMBEA haraka, walau kwa dakika 15 tu kila siku, huimarisha afya ya moyo na kuepusha vifo vya mapema kwa asilimia 19, utafiti umebaini....

Ugumu wa mitihani chanzo wanafunzi kujiua India

NEW DELHI, India TAKWIMU za wanafunzi 13,000 kujiua kila mwaka zimewaibua wataalamu wa afya ya akili nchini India, wakizitaka mamlaka kuamka na kuchukua hatua za...

Simulizi ya kusikitisha maisha ya Gaza

LONDON, UingerezaACHANA na mashambulizi ya makombora yanayotupwa kila uchwao na Israel, raia wa Palestina walioko katika Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na shida nyingine kubwa...

Chelsea wana nafasi ubingwa EPL 2025-26?

LONDON, EnglandBAADA ya kutwaa mataji ya Conference League, Chelsea walihitimisha furaha yao wikiendi iliyopita kwa kuifunga PSG mabao 3-0 na kubeba ubingwa wa Kombe...

Paul Biya na ‘ulevi’ wa madaraka Cameroon

YAOUNDE, CameroonHATUA ya Rais wa Cameroon, Paul Biya, kutangaza nia ya kugombea tena katika Uchaguzi Mkuu ujao imeonekana kuzua mjadala mkubwa katika siasa za...

Kundi la kigaidi linaloitesa Afrika Magharibi

BAMAKO, MaliKWA miaka ya hivi karibuni, Ukanda wa Afrika Magharibi umekuwa ukiandamwa na mashambulizi ya kigaidi yanayotekelezwa na Kundi la Jama'at Nusrat al-Islam wal-Muslimin...

Ruto atafaulu mtihani wa ‘Gen Z’?

NAIROBI, KenyaUPEPO unavuma vibaya kwa William Ruto, huku sehemu kubwa ya wakosoaji wake wakiwa ni vijana wa kizazi kipya, wakifahamika pia kwa jina la...

Utafiti: Ugumu wa maisha chanzo utoaji mimba Uingereza

LONDON, EnglandMATUKIO ya utoaji wa mimba yameripotiwa kuongezeka kwa kasi nchini Uingereza, huku kupanda kwa gharama za maisha kukitajwa kuwa moja ya sababu.Utoaji wa...

Haja ndogo isizidi sekunde 21 tu

LONDON, EnglandUMEWAHI kujiuliza huwa unatumia muda gani kumaliza haja ndogo unapoingia maliwato? Sasa, swali hilo lina maana kubwa mno kwa afya yako.Kwa mujibu wa...

Dembele; ndoa ilivyookoa kipaji kilichozikwa na majeraha, kamari

PARIS, Ufaransa KWA rahisi, maisha yake ndani ya klabu ya Barcelona yalitawaliwa na vurugu nyingi lugha za ndani na nje ya uwanja. Baada ya kucheza...

Dili 15 zilizobamba usajili kiangazi Ulaya

LONDON, England HARAKATI za usajili wa majira ya kiangazi zinaendelea barani Ulaya, huku macho yakielekezwa zaidi kwa klabu za England, Bundesliga, La Liga, Ligue 1...

Watumishi wa Umma watakiwa kujifunza kwa bidii kuongeza ufanisi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini-Dodoma Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi, amewahimiza watumishi wa umma kujenga utamaduni wa...

Recent articles