ZAGREB, CroatiaNAFASI ya 10 kwenye viwango vya ubora wa soka duniani. Croatia wamepromoka kwa nafasi saba, tofauti na nafasi ya tatu waliyokuwa mwaka 1998.Licha...
BRUSSELS, UbelgijiLICHA ya kutokuwa na taji kubwa, Ubelgiji ni moja ya mataifa yanayofanya vizuri katika ulimwengu wa soka. Nafasi ya nane kwenye viwango vya...
VIENNA, AustriaMWAKA 2016, Austria ilipanda hadi nafasi ya 10 katika viwango vya ubora wa soka vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA). Kwa sasa,...
PORT-AU-PRINCE, HaitiKWA mujibu wa viwango vya ubora wa soka duniani, Taifa hilo la Amerika ya Kaskazini linashika nafasi ya 84. Haiti iliwahi kusogea hadi...
WILLEMSTAD, CuracaoVIWANGO vya ubora vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) linaionesha Curacao ikiwa nafasi ya 82 duniani. Iliwahi kufika nafasi ya 68 mwaka...
RABAT, MoroccoKWA sasa, Morocco inashika nafasi ya 11 katika viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA).'Simba wa Atlas' ni mabingwa mara...
CANBERRA, AustraliaTIMU ya soka ya taifa ya Australia inashika nafasi ya 26 katika viwango vya ubora duniani. Iliwahi kuwa ya 14 mwaka 2009.'Socceroos' watashiriki...