Na Mwandishi Wetu, Gazetini
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itayaendeleza mambo yote mema yaliyofanywa na aliyekuwa mbunge wa Peramiho mkoani Ruvuma, marehemu Jenista Mhagama...
Na Mwandishi Wetu
MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho (CCM), Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa Jumanne ya Desemba 16, 2025 katika Kijiji cha Ruanda, Mbinga mkoani...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Mabadiliko makubwa yanayoendelea ndani ya sekta ya nishati yanaanza kuibadili sura ya Jiji la Dar es Salaam, huku Serikali ikithibitisha kuwa...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
ALIYEKUWA Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Mhagama (58) amefariki dunia leo Disemba 11, 2025 jijini Dodoma.
Kwa...
Na mwandishi wetu, Gazetini
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema Watanzania wameonesha uzalendo wa hali ya juu kwa kudumisha amani na utulivu, kufuatia...
Na mwandishi wetu, Gazetini
RIPOTI mpya ya jarida maarufu la Forbes inamtaja mfanyabiashara wa Tanzania, Mohamed 'Mo' Dewji, kuwa nafasi ya 12 katika orodha ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
WANAWAKE zaidi ya 200 wanaojihusisha na utengenezaji bidhaa za batiki wamenufaika na mafunzo ya usalama na afya yenye lengo la kuwajengea...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
RAIS Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, wakijikita katika kudumisha ushirikiano wa...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura kuhakikisha ukamataji wa watuhumiwa unafanywa kwa kufuata...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
ABOUBAKAR Mayalla ni miongoni mwa wachezaji wa Tanzania wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi, akiamini ni suala la muda tu...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
SERIKALI imeendelea kuimarisha sekta ya nishati kupitia uwekezaji mkubwa wa zaidi ya Sh trilioni 13.5 katika miradi 41 ya umeme nchini,...