Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Wawili wajeruhiwa ajali ya moto Dar

Na Mwandishi Wetu WATU wawili wamejeruhiwa kutokana na ajali ya moto iliyotokea leo Januari 16,2025 katika jengo la NSSF lililopo katika mtaa wa Azikiwe na...

Dk. Nchimbi: Serikali imejipanga kuimarisha sekta ya uchukuzi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini MAKAMU wa Rais wa Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema serikali imejizatiti kuhakikisha sekta ya uchukuzi inaimarika ili kuliweka Taifa kwenye nafasi...

Hii hapa mashine iliyotua Yanga kuipambania familia yake

Na mwandishi wetu, Gazetini KLABU ya Yanga leo Alhamisi Januari 15, 2026, imemtambulisha straika wa kimataifa wa Angola, Laurindo Dilson Maria Aurelio ‘Depu’, kupitia kurasa...

Serikali kupitia REA kusaini mikataba ya kutekeleza mradi wa kusambaza umeme vitongoji 9,009

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) inatarajia kuzindua Kituo cha Kupoza na Kusambaza Umeme cha Mtera na Kusaini Mikataba ya...

Kamati ya Bunge Ustawi wa Jamii yaipongeza serikali

Na Mwandishi Wetu, Gazetini KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imetoa pongezi kwa serikali kwa kutangaza amri ya kima cha...

Enyi Watanganyika, ni nani aliyewaroga?

Na Hassan Mwasha, Gazetini KELELE za kukera, kama si za kuchefu kabisa, zinakita kwenye ngoma za masikio yangu. Kelele zinazojirudia, zinazochefua na kunipa picha ya...

Megawati 50 za umeme jua Kishapu kuingia gridini, mradi wafikia asilimia 89

Na mwandishi wetu, Gazetini NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Mradi wa Umeme wa Jua unaotekelezwa Kishapu, mkoani Shinyanga, uko katika hatua za mwisho...

Sangu: Wenye viwanda imarisheni afya na usalama wa wafanyakazi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amewataka wamiliki wa viwanda na maeneo mengine ya kazi...

Stars yang’olewa kibishi AFCON 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeondoshwa kwenye fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) lakini gumzo ni...

Serikali yatoa siku 90 wamiliki kusajili maeneo ya kazi OSHA

Na mwandishi wetu, Gazetini SERIKALI imewataka wamiliki wa maeneo ya kazi nchini ambao maeneo yao hayajasajiliwa na Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi...

Yanga, Injinia Hersi; ‘win-win situation’ iliyorudisha chenji

Na Hassan Mwasha, Gazetini 'Win-win situation' ni nini? Ni pale pande mbili au zaidi zilizo kwenye mahusiano au ushirika wa kibiashara zinaponufaika kwa pamoja, pasi...

Simba yaja kidigitali, jezi sasa kuuzwa kwa simu

Na mwandishi wetu, Gazetini USHINDWE wewe tu! Sasa mashabiki na wanachama wa Simba wanaweza kupata jezi zao kidigitali, hata kupitia simu zao za mkononi. Wakati huo...

Recent articles