Ads: info@gazetini.co.tz |
29.9 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-6

Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale SHERIA ya Tanzania haitambui kila kifo cha mtoto tumboni kama murder. Ili kosa la murder lisimame, lazima marehemu awe ametambulika...

Ummy awahimiza watumishi kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa bajeti ya Serikali

Na mwandishi wetu, Gazetini NAIBU Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Ummy Nderiananga, amewahimiza watumishi wa ofisi hiyo kuongeza...

WWF yaongoza kampeni ya kuulinda mlima Kilimanjaro

Na mwandishi wetu, Gazetini KATIKA jitihada za kulinda mustakabali wa mazingira na vyanzo vya maji, wadau wa mazingira wakishirikiana na jamii ya Moshi wameanzisha kampeni...

Mchechu: Kampuni kumbatieni uongozi uongozi wa kimkakati

Na mwandishi wetu, Gazetini MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu, ametoa wito kwa wakurugenzi wa bodi na watendaji wakuu wa kampuni ambazo Serikali ina umiliki wa...

Je, wewe unatumia teknolojia gani ya mtandao; 2G, 3G, 4G au 5G?

Na mwandishi wetu, Gazetini TANZANIA inaendelea kupiga hatua katika upatikanaji wa huduma za mawasiliano kupitia teknolojia mbalimbali za mitandao ya simu. Kwa mujibu wa ripoti ya...

Simulizi ya Zuhra na mapambano dhidi ya ndoa za utotoni

Na mwandishi wetu, Zanzibar WAKATI Zuhra (Si jina lake halisi) alipokuwa na umri wa miaka 17 tu, hatima ya maisha yake ilikuwa tayari imeanza kuamuliwa...

Kamati ya Bunge yaridhishwa na kiwanda cha nguzo za zege Tabora

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na maendeleo ya ujenzi na kuanza kwa uzalishaji katika Kiwanda cha...

Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ,Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike leo Machi 11, 2026, katika makazi yake,...

Ratiba ya kumbukizi ya miaka mitano kifo cha Hayati Magufuli

Na Mwandishi Wetu FAMILIA ya Hayati John Pombe Magufuli imetangaza rasmi ratiba ya kumbukizi ya miaka mitano tangu kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya...

Mwili wa Mwanahabari Mkongwe Makaranga waagwa Dar, kuzikwa Mwanza

Na Mwandishi Wetu WAANDISHI wa Habari, Wahariri, ndugu na jamaa leo Machi 10, 2026, wamejumuika pamoja katika ibada ya kuaga mwili wa Mhariri Mkongwe, Revocatus...

Watanzania 236 warejea nchini kutoka Dubai kwa ndege maalum ya ATCL

Na mwandishi wetu, Gazetini WATANZANIA 236 mchana wa Machi 9, 2026 wamerejea nchini kwa ndege maalum ya Air Tanzania Company Limited baada ya kukwama mjini...

Salome: Wananchi Rukwa mtapata umeme wa gridi Mei 2026

Na mwandishi wetu, Gazetini NAIBU Waziri wa Nishati, Salome Makamba amesema wananchi wa Mkoa wa Rukwa wataanza kupata umeme wa gridi kuanzia mwezi mei mwaka...

Recent articles