Ads: info@gazetini.co.tz |
29.9 C
Dar es Salaam

Kitaifa

JET: Wanawake wana wajibu wa kuhifadhi mazingira

Na Mwandishi Wetu, Gazetini Katika kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani inayoadhimishwa Machi 8 kila mwaka, Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania...

Mwangwi wa sheria| Mambo usiyoyajua kisheria kuhusu kesi za mauaji-2

Na Wakili Baraka Asajile Gwakabale KIFUNGU cha 196 kinaweka msingi wa kosa la murder. Lakini kifungu cha 203 ndicho kinachoeleza kwa kina uwiano wa sababu...

Mufti asisitiza upendo, kupuuza wanaoeneza chuki

Na mwandishi wetu, Gazetini MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir Bin Ally ametoa rai dhidi ya vitendo vya kueneza chuki za kidini...

Biashara haramu ya dawa tiba za kulevya, kengele mpya ya tahadhari

Na mwandishi wetu, Gazetini KUKAMATWA kwa chupa 1,795 za dawa tiba zenye asili ya kulevya katika basi la abiria lililokuwa likitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

Mambo 5 usiyoyajua kuhusu Kardinali Pengo

Na Malisa GJ Mosi, jina lake halisi ni nani? Kuna watu wanadhani Mwadhama ni jina lake? Wengine wanadhani Polycarp ni cheo chake. Jina lake ni...

Upatikanaji wa umeme vijijini wachochea uchumi, RC Malima aipongeza REA

Na mwandishi wetu, Morogoro MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima, ameipongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa utekelezaji wa miradi ya umeme vijijini na...

Dk. Mataragio: PURA ongezeni kasi ya utafiti kuvutia wawekezaji

Na mwandishi wetu, Gazetini Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi, Dk. James Mataragio, ameielekeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa...

Waziri Sangu azindua mafunzo ya usalama kwa wachimbaji wadogo Geita

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Deus Sangu, amezindua kampeni ya mafunzo kwa wajasiriamali wadogo ambayo...

Rais Samia azindua jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

Na Mwandishi Wetu,Gazetini AMIRI Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Samia Suluhu Hassan, leo Februari 24, 2026, amezindua jengo la Makao Makuu...

Migodi mikubwa nchini yatakiwa kuwezesha wachimbaji wadogo

Na mwandishi wetu, Gazetini Wito umetolewa kwa makampuni makubwa ya uchimbaji madini nchini kuwekeza katika kuwawezesha wachimbaji wadogo katika nyanja mbalimbali ikiwemo teknolojia za kisasa...

TRA yasifu matumizi ya kodi katika mradi wa Bwawa la Julius Nyerere

Na mwandishi wetu, Gazetini MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesifu matumizi sahihi ya fedha za kodi za Watanzania katika Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere...

Ndejembi: Urambo, Kaliua zipo tayari kwa uwekezaji wa viwanda

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema wilaya za Urambo na Kaliua mkoani Tabora zipo tayari kupokea uwekezaji, hususan wa viwanda, kutokana...

Recent articles