Ads: info@gazetini.co.tz |
29.9 C
Dar es Salaam

Kitaifa

Rais Samia akabidhi 94.1 bilioni mikopo ya wanawake, vijana

Na Mwandishi Wetu, Gazetini SERIKALI imekabidhi hundi ya shilingi 94.1 bilioni kwa ajili ya mikopo ya wanawake, vijana, watu wenye ulemavu, wafanyabiashara wadogo, wakiwemo mamalishe...

Latra yatangaza nauli mpya za mabasi, daladala

Na Mwandishi Wetu, GazetiniMamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetoa bei mpya za nauli kwa mabasi yanayofanya safari za mikoani, mabasi ya mijini (daladala),...

Bosi EWURA atumbuliwa

Na Mwandishi Wetu Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) wa Dk. James...

Rais Samia: Serikali itachukua hatua yaliyopendekezwa na CAG

Na Mwandishi Wetu RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itachukua hatua kama ilivyoelekezwa na sheria na kama ilivyopendekezwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali...

Bwege afariki dunia

Na Mwandishi Wetu MBUNGE wa zamani wa Jimbo la Kilwa Kusini, Mkoani Lindi, Selemani Bungara maarufu Bwege amefariki  leo mchana Machi 30,2026 wakati akipatiwa matibabu...

Hasara ATCL yaongezeka maradufu, yafikia Sh Bilioni 191.19

Na mwadishi wetu, Gazetini RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imebaini kuwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeendelea kupata hasara...

Makaa ya mawe injini mpya ya mageuzi ya viwanda

Na mwandishi wetu, Gazetini WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde, amesema makaa ya mawe yana nafasi ya kimkakati katika kuharakisha mageuzi ya uchumi wa Tanzania kuelekea...

TAKUKURU yafichua wizi wa Sh bilioni 147.5 kupitia kadi za benki

Na mwandishi wetu, Gazetini MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Crispin Chalamila, amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwapo kwa mtandao...

Hiki ndicho kilichomuua Lukuvi

Na mwandishi wetu, Gazetini RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...

Usawa wa kijinsia: Tumejipanga kwa vita nyingine ya miaka 30 ijayo?

Na mwandishi wetu, Gazetini KAMPENI nyingi zinazoendelea kwa sasa zimejikita kumpa nguvu mtoto wa kike/mwanamke. Jamii inampambania kweli kweli. Wanaharakati wanafanya kila linalowekezana kumuweka binti/mwanamke katika...

Sehemu 10 pesa zilikojificha

Na Benjamin Madaha KATIKA kipindi hiki cha tatizo la ajira, watu wanatafuta pesa kila kukicha -wengine usiku na mchana na wengine hujaribu kuhama eneo moja...

AGENDA yahimiza mapinduzi ya uhifadhi misitu Tanzania, uharibifu wazidi…

Na mwandishi wetu, Gazetini MACHI 21 kila mwaka, dunia huadhimisha Siku ya Misitu Duniani kwa lengo la kuhamasisha jamii kutambua mchango mkubwa wa misitu katika...

Recent articles