MANCHESTER, Uingereza
KLABU ya Manchester United imethibitisha kuachana na kocha wake mkuu, Ruben Amorim, katika uamuzi uliokuja kwa masikitiko lakini ukilenga maslahi ya baadaye ya...
Na mwandishi wetu, Gazetini
MIMBA zisizotarajiwa ni janga linalopuuzwa, licha ya ukubwa wake duniani kote, kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi...
WASHINGTON DC, Marekani
BAADA ya miezi mingi ya Marekani kuzishambulia kwa risasi na mabonu boti za Venezuela kwa madai ya kusafirisha dawa za kulevya, hatimaye...
Na mwandishi wetu, Gazetini
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeondoshwa kwenye fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) lakini gumzo ni...
CATALUNYA, Hispania
KOCHA wa Barcelona, Hans Flick, amedai kuwa timu yake ilionesha kiwango kibovu katika mchezo dhidi ya Espanyol, hivyo haikistahili kupata ushindi wa mabao...
MOMBASA, Kenya
TEMBO maarufu nchini Kenya amefariki akiwa na umri wa miaka 54, akikumbukwa kwa heshima aliyokuwa nayo ya ubalozi wa kampuni ya bia ya...
MERSEYSIDE, Uingereza
LIVERPOOL imeungana na Manchester United na Tottenham katika mbio za kumsajili kiungo wa Brighton na timu ya taifa ya Cameroon, Carlos Baleba.
Brighton haijakataa...
LONDON, Uingereza
MABOSI wa Chelsea wameripotiwa kuanza harakati za kumchukua kocha wa Newcastle United, Eddie Howe.
Wakati huo huo, taarifa zinaeleza kuwa wanaitaka saini ya kiungo...
TEHRAN, Iran
WAZIRI wa Mambo ya Nje ya Iran, Abbas Araghchi, ameitaka Marekani kuacha kusitishia nchi yake akisema vitisho pekee havitoshi.
Hivi karibuni, Rais wa Marekani,...
LONDON, Uingereza
HATIMAYE mshambuliaji wa Arsenal, Bukayo Saka, ameungana na Cesc Fabregas katika orodha ya wachezaji waliochangia mabao mengi ya timu hiyo kwenye historia ya...