Ads: info@gazetini.co.tz |
29.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Rosenior atangazwa kocha mpya Chelsea

LONDON, Uingereza KLABU ya Chelsea imemtangaza, Liam Rosenior kuwa kocha mpya atakayechukua mikoba ya Enzo Maresca. Rosenior amejiunga na Chelsea akitokea Strasbourg, ambayo pia inamilikiwa na...

Sangu: Wenye viwanda imarisheni afya na usalama wa wafanyakazi

Na Mwandishi Wetu, Gazetini WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amewataka wamiliki wa viwanda na maeneo mengine ya kazi...

Arsenal, City zamgombea beki Newcastle

LONDON, Uingereza KLABU ya Arsenal imejitosa kuiwania saini ya beki wa Newcastle United, Tino Livramento, ambaye pia anaitoa udenda Manchester City. Livramento aliibuliwa na 'academy' ya...

Baada ya Venezuela, mataifa haya hatarini kuvamiwa na Marekani

Na mwandishi wetu, Gazetini TANGU aliporejea madarakani kwa awamu yake ya pili, Rais Donald Trump amekuwa na sera zake ngumu dhidi ya mataifa ya kigeni....

Delcy Rodríguez aapishwa rais wa mpito, aitaka Marekani imwachilie Maduro

CARACAS, Venezuela DELCY Rodríguez ameapishwa kuwa rais wa mpito wa Venezuela katika kikao cha Bunge kilichoanza kwa wito wa kumwachilia huru rais aliyeondolewa madarakani na...

Ferdinand ataja kocha mpya United

MANCHESTER, Uingereza NAHODHA wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdinand, anaamini Darren Fletcher anatosha kuibeba timu hiyo baada ya Ruben Amorim kutimuliwa. Amorim amefutwa kazi baada...

Osimhen, Salah watinga robo fainali AFCON 2025

RABAT, Morocco MABAO mawili ya Victor Osimhen yameiwezesha timu ya taifa ya Nigeria 'Super Eagles' kupata ushindi wa 4-0 dhidi ya Msumbiji katika mchezo wa...

Viatu vya Ferguson havivaliki Man United

MANCHESTER, Uingereza HATIMAYE Manchester United wamemfuta kazi Ruben Amorim. Mreno huyo ameondoka akiwa amehudumu kwenye benchi la ufundi kwa miezi 14 pekee tangu alipoajiriwa akitokea...

Ndoa za mastaa zilizobamba 2025

Na mwandishi wetu, Gazetini MWAKA 2025 tayari umemalizika, huku ukiacha kumbukumhu nzuri katika tasnia ya burudani duniani kote. Kwa upande mwingine, kumbukumhu hizo ni pamoja na...

Maduro afikishwa mahakamani New York, washirika wake wapinga

NEW YORK, Marekani RAIS wa Venezuela, Nicolás Maduro, aliyekamatwa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani, amefikishwa katika mahakama ya Manhattan, New York, ambako leo Jumatatu...

Trump hajapoa! Asisitiza: ‘Tunaitaka Greenland’

NEW YORK, Marekani RAIS wa Marekani, Donald Trump, amependekeza kwa mara nyingine mpango wa kuichukua Greenland, hatua iliyozua mvutano wa kidiplomasia baada ya uongozi wa...

Watu 10 wahukumiwa Paris kwa kumdhalilisha mke wa rais

PARIS, Ufaransa Mahakama ya Paris imewatia hatiani watu kumi kwa tuhuma za unyanyasaji wa mtandaoni dhidi ya mke wa Rais wa Ufaransa, Brigitte Macron, baada...

Recent articles

spot_img