LONDON, Uingereza
KWA fedha nyingi na umaarufu mkubwa walionao, wangeweza kuifanya siku ya ndoa zao kufahamika duniani kote.
Hata hivyo, waliona mambo yasiwe mengi. Wakaamua kufunga...
YOUNDE, Cameroon
TIMU ya soka ya Taifa ya Cameroon haikufuzu fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) lakini lejendari wake, Rigobert Song, ana...
LOS ANGELES, Marekani
BINADAMU wa kwanza kuwa trilionea, Elon Musk, alisherehekea kutimiza umri wa miaka 56 jana Juni 28, 2026.
Mbali ya kusherehekea kutimiza umri huo,...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
MSIMU huu wa 2025-26 wa Ligi Kuu Bara utafikia ukomo wake kesho Juni 30,2026, kwa timu zote 16 kushuka dimbani.
Kwamba viwanja...
LAGOS, Nigeria
LICHA ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kuipa onyo, Serikali ya Nigeria imepiga hatua moja mbele katika mpango wake wa kukopa kiasi...
MIAMI, Marekani
TEKNOLOJIA ya kumsaidia mwamuzi kwa marudio ya video (VAR) imeibua sintofahamu kwa baadhi ya maamuzi yake wakati huu wa fainali za Kombe la...
TORONTO, Canada
TIMU ya soka ya Taifa ya Canada imekuwa ya kwanza kuingia hatua ya 16 Bora baada ya kuitoa Afrika Kusini 'Bafana Bafana'.
Katika mchezo...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
KUNA msemo unaosema, "Viongozi wakubwa hawazaliwi, hujengwa." Katika ulimwengu wa biashara, kauli hiyo inajidhihirisha kupitia watu wanaoanza katika nafasi za kawaida,...
Na Hassan Mwasha, Gazetini
ACHANA na ishu ya ubingwa. Ni wazi si Yanga wala Simba inayoweza kufikia idadi ya pointi ilizokusanya msimu uliopita (2024-25) wa...