Ads: info@gazetini.co.tz |
21.6 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Fei Toto na maumivu yake, wageni na ubabe wao ufungaji bora

Na Hassan Mwasha DAKIKA 90 tu za mchezo kati ya Fountain Gate na Singida Black Stars ndizo zilizopeperusha ndoto ya Feisal Salum 'Fei Toto' kuwa...

Soma hapa kama unatumia WhatsApp

LOS ANGELES, Marekani WHATSAPP ni miongoni mwa mitandao ya kijamii yenye ushawishi mkubwa, ukitajwa kuwa na watumiaji zaidi ya bilioni tatu duniani kote. Sasa, imezoeleka kuona...

FBI ilivyonasa ‘drone’ zilizolenga kutibua Kombe la Dunia 2026

MIAMI, Marekani WAKATI huu fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu (2026) zikiendelea, moja ya vipaumbele katika nchi wenyeji - Marekani, Mexico na Canada...

Unaifahamu Siku ya Mitandao ya Kijamii duniani?

LOS ANGELES, Marekani JUNI 30 ya kila mwaka ni Siku ya Mitandao ya Kijamii duniani. Ni siku iliyoasisiwa mwaka 2010 na tovuti ya Mashable kwa...

Mtibwa yaelekea maisha mapya Championship

Na Hassan Mwasha, Gazetini WAKONGWE wa soka la Morogoro, Mtibwa Sugar, wameiaga rasmi michuano ya Ligi Kuu Bara, hivyo msimu ujao watacheza Ligi Daraja la...

Kigogo wa Serikali achekelea Iran kutolewa Kombe la Dunia

WASHINGTON DC, Marekani INAFAHAMIKA kuwa bado uhusiano kati ya Marekani na Iran haujakaa sawa. Mataifa hayo yanaendelea kushambuliana kijeshi, licha ya makubaliano ya hivi karibuni...

Kama ulivyosikia! Yanga wabeba tena ‘ndoo’ Ligi Kuu

Na Hassan Mwasha HATIMAYE Yanga wamethibitisha ubabe wao Ligi Kuu Bara baada ya kumaliza msimu huu wa 2025-26 kwa kutwaa ubingwa wao wa tano mfululizo. Yanga...

Fei Toto apigwa bao ufungaji bora

Na Hassan Mwasha, Gazetini NI rasmi sasa kiungo wa Azam, Feisal Salum 'Fei Toto' amekikosa kiatu cha mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu wa...

Samia aisifu TPA kwa kujitegemea, yakabidhi gawio la Sh bilioni 205.53

Na mwandishi wetu, Gazetini Rais Samia Suluhu Hassan ameisifu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kwa kufikia kiwango cha kujitegemea kifedha, akisema taasisi hiyo...

Kocha Ujerumani agoma kujiuzulu

MUNICH, Ujerumani BAADA ya timu ya soka ya Taifa ya Ujerumani kutolewa kwenye michuano ya Kombe la Dunia, kocha wake, Julian Nagelsmann, amesema hana mpango...

Kombe la Dunia 2026: Canada yaingia anga za Morocco

MIAMI, Marekani WENYEJI wa fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu, Canada, ambao wanashirikiana na Mexico na Marekani, watakwana na Morocco katika hatua inayofuata...

Ancelotti aonywa Brazil ikitinga 16 Bora

RIO, Brazil LICHA ya timu ya soka ya Taifa ya Brazil kutinga hatua ya 16 Bora ya fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu...

Recent articles

spot_img