MERSEYSIDE, England
KLABU tajiri ya Al-Nassr ya Ligi Kuu ya Saudi Arabia imemtengea dau nono winga wa Liverpool, Luis Diaz.Taarifa zinaeleza kuwa Al-Nassr itaipelekea Liver...
MADRID, HispaniaUWEZEKANO ni mkubwa kwa mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappe, kuikabili Juventus katika mchezo wa keshokutwa.Madrid itavaana na vigogo hao wa Serie A,...
LOS ANGELES, MarekaniSTAA wa muziki wa Pop, Selena Gomez, amemtaja Eminem kuwa ndiye rapa aliyekuwa akivutiwa naye alipokuwa mdogo.Selena (32), ameyasema hayo hivi karibuni...
MONACO, Ufaransa
KATIKA video iliyosambaa mitandaoni, kiungo wa zamani wa Manchester United, Paul Pogba, anaonekana akimwaga machozi wakati akisaini mkataba wa kujiunga na Monaco ya...
LONDON, England
MAURICIO Pochettino ni miongoni mwa makocha waliokuwa kwenye usahili wakati Brentford ilipokuwa ikisaka kocha hivi karibuni.
Pochettino aliyewahi kufanya kazi Ligi Kuu ya England...
RAIS wa Marekani, Donald Trump, amekana madai ya kuiwezesha Iran kiasi cha Dola bilioni 30 ili kitumike katika mpango wa nyuklia.
Siku chache zilizopita, Shirika...
MAELFU ya wanafunzi na wanaharakati nchini Serbia wameandama wakishinikiza uchaguzi mkuu wa haraka ili kumng'oa madarakani Rais Aleksandar Vucic.
Huu ni mwendelezo wa miezi mingi...
KWA saa 24 zilizopita, mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza yamesababisha vifo vya Wapalestina 81, huku zaidi ya 800 wakijeruhiwa.
Asubuhi ya leo (Jumamosi),...
*Ni kwa mujibu wa maoni ya watumiaji wa mtandao wa Reddit
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Utafiti uliofanyika kupitia jukwaa la mtandaoni la Reddit na kuhusisha maoni...
Na Mwandishi Wetu, Gazetini
Dar es Salaam, Juni 25, 2025 – Licha ya juhudi mbalimbali za kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini Tanzania,...
Na Malima Lubasha, Gazetini-Serengeti
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ameielekeza Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kutenga na kupeleka angalau Shilingi 100,000 kila...
Na Malima Lubasha, Gazetini – Serengeti
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kwa kupata hati inayoridhisha katika...