Ads: info@gazetini.co.tz |
23.2 C
Dar es Salaam

Author: gazetiniAdmin_1

Waziri ‘aliyetumbuliwa’ atajwa kujiua

MOSCOW, UrusiALIYEKUWA Waziri wa Uchukuzi wa Urusi, Roman Starovoit, amefariki, huku mwili wake ukikutwa na jeraha la risasi.Wakati huo huo, kile kilichoelezwa na Kamati...

Mastaa wa kuchungwa WAFCON 2025

BERKANE, MoroccoFAINALI za Mataifa Afrika kwa soka la Wanawake zilianza kutimua vumbi Julai 5, mwaka huu, zikifanyika kwa msimu wa pili mfululizo nchini Morocco.Je,...

Twiga Stars yaanza vibaya WAFCON

BERKANE, MoroccoTIMU ya soka ya Wanawake ya Tanzania (Twiga Stars) imepoteza kwa kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Mali katika mchezo wa fainali za...

Modric, Milan dili limeiva

MILAN, ItaliaKOCHA wa AC Milan, Massimiliano Allegri, amefichua kuwa kiungo aliyeaga Real Madrid, Luka Modric, atajiunga na klabu hiyo ya Italia.Kwa mujibu wa Allegri,...

Szczesny asaini miwili Barcelona

CATALUNYA, HispaniaBARCELONA wamempa mkataba mpya wa miaka miwili mlinda mlango wake raia wa Poland, Wojciech Szczesny.Szczesny (35), alistaafu soka mwaka jana, kabla ya Barca...

Kocha Chelsea hofu tupu

LONDON, EnglandKOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca, amesema timu yake si miongoni mwa zinazoweza kutwaa taji la Kombe la Dunia kwa ngazi ya Klabu.Maresca ameyasema...

Napoli na ubabe kwa vigogo Serie A

NAPOLI, ItaliaTANGU iliponunuliwa na bilionea De Laurentiis na kurejea Serie A mwaka 2017, Napoli imekuwa tishio kwa vigogo wa Ligi Kuu hiyo ya Italia.Msimu...

Staa Hip hop ajiua

LOS ANGELES, MarekaniRAPA mkongwe wa Marekani ambaye ni memba wa Kundi wa Outlawz, Young Noble, amejiua, akiwa na umri wa miaka 47.Aliyefichua kifo cha...

Wizkid, Tems watikisa Afrika

LAGOS, NigeriaWANAMUZIKI wa Afrobeat, Wizkid na Tems, ni wasanii pekee wa Afrika walioingia kwenye 'Top 500' ya Apple Music kwa upande wa nyimbo zilizosikilizwa...

Timaya: Sijaacha muziki, nimepumzika

LAGOS, NigeriaSTAA wa muziki wa Afrobeat, Timaya, ameweka wazi kuwa ukimya wake kwenye 'gemu' haumaanishi kuwa amestaafu.Timaya alianza kuchomoza kwenye soko la muziki mwaka...

Durant aondoka Phoenix, atua Houston

LOS ANGELES, MarekaniSTAA wa Ligi Kuu ya Kikapu ya Marekani (NBA), Kevin Durant, amejiunga na Houston Rockets akitokea Phoenix Suns.Durant ameiacha Phoenix baada ya...

Mambo 10 kuhusu Zubimendi wa Arsenal

LONDON, EnglandARSENAL wamekamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa wa Hispania, Martin Zubimendi, aliyetua klabuni hapo akitokea Real Sociedad kwa ada ya Pauni milioni 60.Makala...

Recent articles

spot_img